AMREF yaandaa chakula cha hisani kuchangisha fedha za kampeni ya “Stand Up...
Mkurugenzi wa Taasisi ya AMREF Tanzania Dk.Festus Ilako akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu halfa ya chakula cha hisani ya kuchangisha fedha yenye kauli mbiu ya “Stand...
View ArticleWaziri Aboud akutana na Viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili uboreshaji wa...
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohd akizungumza na wawakilishi wa vyama vya siasa Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar juu ya suala zima la uboreshaji Sherehe za miaka 50...
View ArticlePresident Kikwete arrives in Austria Attends Un-European Commission’s High...
President Jakaya Mrisho Kikwete is received by the Mayor of Salzburg, Mr Wilfred Haslauer at the Salsburg Airport in Austria on Thursday August 29, 2013 ahead of a High Level Retreat on “NEW IDEAS FOR...
View ArticleUSAID yatoa msaada wa Pikipiki 10 kwa Maafisa wafuatiliaji Wagonjwa wa...
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold, akielezea kufurahishwa kwake na juhudi zinazochukuliwa juu ya kutokomeza Malaria Zanzibar (kulia)...
View ArticleAngalia Bongo Views Mada kuhusu Madawa ya Kulevya.
Kipindi cha cha BONGO VIEWS ndani ya Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, siku ya jumamosi Aug 24, 2013 kilizungumzia kuhussu athari za madawa ya kulevya...
View ArticleDocumentary – SAM: How does it contribute to improve the health sector?
Documentary hii inayoonyesha mafanikio ya zoezi la Ufuatiliaji Uwajibikaji Jamii au Social Monitoring and accountability (SAM) katika wilaya ya Iramba lililoratibiwa na Shirika la Sikika. Dhana hii ya...
View ArticleUn Security Council issued a Statement on the DRC Peacekeeping Operation
Assistant Secretary-General for Peacekeeping Operations, Mr Edmond Mulet. On 22 August 2013, the members of the Security Council heard a briefing by Mr Edmond Mulet, Assistant Secretary-General for...
View ArticleFarewell Cocktail for the United States Ambassador to Tanzania, Alfonso E....
The United States Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt, giving his farewell speech at the farewell cocktail reception held by American Chamber of Commerce in Tanzania on Wednesday, 28th of...
View ArticleWaziri Mkuu Mh. Pinda afanya ziara ya kikazi mkoani Tabora.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa dini wa mkoa wa Tabora baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya siku tatu mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
View ArticleKijana wa kiume mkoani Singida aingiliwa kinyume na maumbile baada ya kulewa...
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya kijana mmoja mkazi wa Kibaoini Singida mjini, kulawitiwa na rafiki yake...
View ArticleUkuaji wa pato la taifa waongezeka kwa asilimia 7.5 kwa robo ya kwanza ya...
Mkurugenzi Takwimu za Uchumi Morrice Oyuke. Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Fedha ina jukumu la kukokotoa pato la taifa kwa robo mwaka ili kuwapatia takwimu kwa wakati, wadau wa takwimu za pato...
View ArticleKijana aliyeua akimuokoa mama yake asibakwe aachiwa huru na mahakama kuu...
Mahakama kuu Kanda ya Dodoma inaendelea na vikao vyake mjini Singida, imemwachia huru kijana Elikana Selemani (28) mkazi wa kijiji cha Sefunga wilaya ya Singida vijijini, baada ya kukiri kosa la...
View ArticleMhe. Balozi Liberata Mulamula atembelewa na Balozi wa Zamani wa Marekani...
Mhe.Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani na Mexico akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Charles Stith,Balozi wa zamani wa Marekani nchini...
View ArticleWaziri Nchimbi, Balozi wa Marekani wazindua Mitambo ya Mawasiliano ya Kikosi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt wakikata utepe kuzindua rasmi mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji...
View ArticleAzam TV kuonyesha mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara moja kwa moja kwenye...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd Rhys Torrington akitia saini mkata wa kuonyesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara moja kwa moja kupitia Azam TV. Katikati ni Makamu rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...
View ArticleMzee Nelson Mandela arejea nyumbani kutoka hospitali alikokuwa amelazwa.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amerejea nyumbani kwake mjini Johannesburg kimya kimya baada ya kulazwa hospitali mjini Pretoria kwa muda mrefu. Mandela mwenye umri wa miaka 95...
View ArticleMajeshi ya serikali ya Kongo yafanikiwa kudhibiti ngome ya waasi wa M23...
Majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamedhibiti maeneo ya vilima vilivyopo karibu na mji wa Goma Mashariki mwa nchi hiyo, baada ya wapiganaji wa kundi la waasi wa M23 kuondoka eneo...
View ArticleBayern Munich yaibuka mabingwa wa michuano ya UEFA Super Cup baada ya...
Timu ya Bayern Munich ya Ujerumani imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la UEFA Super Cup baada ya kuitandika Chelsea ya Uingereza kwa mabao 5-4 kupitia mikwaju ya penati, baada ya kutoka sare ya mabao...
View ArticleClint Eastwood splits with his wife Dina after 17 years of marriage.
Clint Eastwood has split from his wife after 17 years of marriage. The Hollywood legend’s second wife, 48-year-old Dina Eastwood, revealed the separation and said the pair had been living apart for...
View ArticleWaziri Dk. Nchimbi akutana na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto...
View Article