Pinda atunuku vyeti na Diploma kwa Wahitimu wa Chuo cha Nyuki Tabora.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kagasheki (wa pili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu (kulia), Mkuu wa Mko a wa...
View ArticleWadau wa Utoaji Haki wa Chama cha Majaji Wanawake nchini wakutana kujadili...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA),mama Salma Kikwete (kulia) akizungumza na washiriki wa warsha ya utoaji Haki juu ya kutokomeza matumizi mabaya ya madaraka...
View ArticleWajumbe Baraza kuu UVCCM kutoka Tanzania Bara wawasili Zanzibar kushiriki...
Bandari ya Zanzibar Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti jana jioni. Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la...
View ArticleMakamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi awasili Tanzania
Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Ndg. Burikukiye Victor katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mara baada ya kumpokea.
View ArticleWatumishi wa Idara ya Wakimbizi wamuaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Judith Mtawali (kulia) ambaye amestaafu rasmi kwa mujibu wa sheria ya Utumishi wa Umma akikata keki wakati wa sherehe...
View Articlewakazi wa Mtwara waipokea kwa shangwe Semina ya fursa kwa Vijana
Meneja Kiongozi,Uhusiano NSSF Makao makuu jijini Dar, Eunice Chiume akizungumza mapema kwenye semina ya FURSA iliyofanyika kwenye ukumbi wa Pentecoste Ligula B,uliopo mkabala na Kituo cha Vijana...
View ArticleBaraza kuu UVCCM lamuidhinisha Sixtus Mapunda kuwa Katibu Mkuu Mpya UVCCM
Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akifungua Mkutano maalum wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. Wengine...
View ArticleShule yazuia Wanafunzi wake kufanya Mitihani kwa kutolipa michango
Picha hii haihusiani na habari iliyoandikwa hapo chini. (Picha na Maktaba). Shinyanga, Tanzania Katika hali isiyokuwa ya kawaida robo tatu ya wanafunzi katika shule ya sekondari Uhuru iliyopo katika...
View ArticleSMZ na Kampuni ya Royal Dutch Shell zatiliana saini makubaliano ya uwekezaji...
Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Ramadhani Abdalla Shaaban akibadilishana Waraka wa makubaliano na Mwenyekiti wa Shell Deepwater Tanzania Bw. Axel...
View ArticleMansour akataa kwenda Mahakamani kupinga uamuzi wa kufukuzwa CCM
Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano Mzee Hassan Nassoro Moyo akifafanua kitu katika Kongamano lililofanyika ukumbi wa Salama hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo...
View ArticleMasanja Mkandamizaji afunguka kuhusu Madawa ya Kulevya na Serikali kushikilia...
Masanja Mkandamizaji afunguka alipolonga na Vijimambo kuhusu kudaiwa kuhusika na madawa ya kulevya na kuhusu kushikiliwa kwa Passport yake na Serikali, MSIKILIZE Hii ndio Nyumba ya Ghorofa ya Masanja...
View ArticlePinda afungua Mkutano wa mwaka wa SADCOPAC jijini Arusha leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Kitabu cha Miaka 10 ya Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCOPAC) baada ya Kufungua...
View ArticleLAPF kutumia Bilioni 35 Ujenzi wa Kituo cha mabasi Msamvu
Meneja wa Kanda ya Mashariki kutoka Mfuko wa Pensheni wa LAPF Sayi Lulyalya(katikati) akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu Mafao na Miradi mbalimbali inayotekelezwa na mfuko huo,wakati wa mkutano...
View ArticleBalozi Seif Iddi aongoza mazishi ya Meja Mshindo aliyefariki DRC Congo
Wapiganaji wa Jeshi la Wananachi wa Tanzania { JWTZ } wakitoa salamu zao za mwisho wakati wa mazishi ya kamanda wao Meja Khatibu Shaaban Mshindo yaliyofanyika kijijini kwake Mangapwani. Meja Khatib...
View ArticleMiss Tanzania 2012 Brigitte Alfred aondoka leo kwenda kambi ya Miss World...
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini leo kwenda nchini Indosia katika kambi ya Miss World 2013. Pichani juu ni...
View ArticleDk Alberic Kacou afungua warsha kwa waratibu wakazi Mashariki na Kusini mwa...
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dk. Alberic Kacou akifungua warsha siku tano kwa Waratibu Wakazi wa Umoja wa Mataifa katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika...
View ArticleMembe delivers SADC’s Final Report on the Zimbabwe’s Elections
Mr. Robert Kahendaguza, the Acting Director of the Department of Regional Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs welcomes Hon. Minister Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and...
View ArticleMwaliko wa Ikulu kwa Umma kuchangia maoni kutathmini utekelezaji wa mpango wa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – IKULU TAARIFA KWA UMMA MWALIKO KWA WADAU KUCHANGIA MAONI KATIKA ZOEZI LA SERIKALI KUJITATHMINI (SELF ASSESSMENT) KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA...
View ArticleNHIF yazindua Huduma za Bima ya Afya ya Jamii (CHF) Mjini Kilwa
Adoh Mapunda Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akipokea vifaa maalum vya kuhifadhia fedha na nyaraka mbalimbali kutoka kwa Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya...
View Article