Rais Kikwete amteua Profesa Mlama kuwa Mwenyekiti wa BASATA
Na Veronica Kazimoto – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Penina Mlama (Pichani) kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa...
View ArticleJaji Kiongozi ataka Waandishi kutoingilia Uhuru wa Mahakama
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania Mh. Fakih Jundu. Na Eliphace Marwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania Mh. Fakih Jundu amewaasa waandishi wa habari kuwa makini pindi wanapo andika habari...
View ArticleKwa mara ya kwanza Tanzania yapata kikao rasmi EALA, Kikao kimoja kufanyika...
Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Adam Kimbisa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa wabunge wa...
View ArticleSerikali yatoa ufafanuzi kuhusu tuhuma zilizotolewa na mtandao wa kijamii wa...
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari- (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mtandao wa kijamii wa nchini Kenya ulioituhumu...
View ArticleMh. Pinda aagana na Balozi wa Marekani aliyemaliza muda wake
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Balozi huyo alikweda kuaga. (picha na Ofisi ya...
View ArticleMinister Membe pays a courtesy visit to President Mugabe of Zimbabwe
President Robert Mugabe of the Republic of Zimbabwe awaits to receive Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation. Minister Membe paid a courtesy visit at...
View ArticleKatibu Mkuu mpya wa UVCCM aripoti ofisini leo
Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda (wapili kushoto) akiwasalimia baadhi ya watumishi wa makao makuu ya Jumuia hiyo, jijini Dar es Salaam, alipowasili kuripoti rasmi...
View ArticleTamasha la Jinsia Tanzania lafana Jijini Dar es Salaam
Washiriki wa mkutano wa tamasha la jinsia tanzania 2013 wakiandamana kuingia katika viwanja vya TGNP kabla ya kuanza kwa maadhimisho. Maadhimisho hayo yanaenda sambamba na kusherehekea miaka 20 ya...
View ArticleKumbukumbu ya Miaka 10 ya Ndg. Stephen S. Shilatu
Ilikuwa dakika, saa, mwezi na sasa ni miaka 10 kamili tangu alyekuwa Baba wa Marehemu John Stephano Shilatu, Mzee STEPHANO SHIGEMELO SHILATU wa Kisesa Mwanza atutoke ghafla duniani mnamo tarehe...
View ArticleWito wa Wananchi kuhusu Tozo/Kodi ya Laini ya Simu yafika Bungeni
Sehemu ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Press Release Bunge by dewjiblog
View ArticleKinana akutana na Balozi wa Sudan
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akimkaribisha Balozi wa Sudan hapa nchini, Dk. Yassir Mohamed Ali,kabla ya mazungumzo naye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es...
View ArticleRais Kikwete na Mama Salma Kikwete washiriki Mazishi ya Askofu Mkuu wa Kanisa...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho na kuweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Muasisi na askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dkt. Moses Kulola...
View ArticleWonders Of 21st Century
Our Phones = WIRELESS Our cooking = FIRELESS Our Cars = KEYLESS Our Food = NEUTRITIONLESS Our Tires = TUBELESS Our Dresses = SLEEVELESS Our Youths = JOBLESS Our Leaders = SHAMELESS...
View ArticleSiku ya Pili ya Tamasha la Jinsia Tanzania 2013
Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi (katikati) akichangia mada kwenye moja ya semina anuai zinazoendelea katika Tamasha la jinsia 2013...
View ArticleMstahiki Meya Mh. Jerry Silaa akabidhi Magodoro 50 Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa kikundi cha Neema Womans Power Bi.Maryam Dedes kuelekea kwenye chumba cha mikutano katika Hospitali ya Taifa...
View ArticleShindano Jipya la Tanzania Top Model lazinduliwa Jijini Dar Es Salaam
Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge...
View ArticleMiradi 26 yenye thamani ya Sh.Bilioni 23.2 kuzinduliwa mbio za Mwenge
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck Sadiki akitoa taarifa fupi mara baada ya kupokea Mwege wa Uhuru leo Jijini Dar es Salaam katika uwanja wa ndege wa Terminal one.(Picha na Eleuteri...
View ArticleTigo yazidi kuwawezesha wateja wake kumiliki Biashara zao wenyewe kupitia...
Mtaalam wa masoko na biashara kutoka Tigo Bw. Gaudens Mushi (kushoto) akimpongeza Bi. Linda Ndalu (28) mjasiriamali, mkazi wa Sinza kwa kujishinda Bajaji katika promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’....
View ArticleMwili wa Mwanamke alieuwawa kikatili Kawe Jijini wasafirishwa kwa Mazishi...
Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma....
View Article