JK azindua Miradi ya Maendeleo na kuhutubia Wananchi wa Magu
Rais Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Magu eneo la Ilungu karibu na mji wa Magu. Jengo hilo litagharimu shilingi bilioni 6 na milioni...
View ArticleBalozi Sefu Iddi atembelea hoteli zilizoungua Moto Unguja Kaskazini leo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Sun Set Bungalows iliyoko katika Kijiji cha Kendwa Nungwi Abdullsamab Ahed Said akikagua athari...
View ArticleMtanzania Adubo M. Omar yupo Mortuary Dallas Texas Tangia Aug 26, 2013 ndugu...
Mtanzania Adubo M. Omar yupo Mortuary Dallas Texas nchini Marekani tangia Aug 26, 2013 Frank Maji ambaye ametuletea habari hizi amesema Marehemu alishawahi ishi miji ya Cedar Rapids na, Des Moines...
View ArticleKiwanda cha kwanza cha kuchambua taka chazinduliwa Gongo la Mboto jijini Dar
Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimlaki mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa...
View ArticleIslamic Banking ya NBC kupeleka wateja wawili na wenza wao Hijja
Kaimu Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa Kufuata Kanuni za Kiislamu (Islamic Banking), wa Benki ya NBC Tanzania, Yassir Masoud (katikati) akizungumza katika droo ya awamu ya pili kupata washindi...
View ArticleSerikali yahimizwa kurahisisha kilimo cha mkataba
Na. Mwandishi Wetu Sekta ya pamba nchini ina uwezo wa kuwakwamua wakulima wa pamba katika dimbwi la umaskini endapo serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wataweza kusaidia uwepo kilimo cha...
View ArticleAfDB co-organizes United Nations Private Sector Forum 2013
President of African Development Bank (AfDB) Donald Kaberuka. By Special Correspondent The African Development Bank Group (AfDB) will play an active role in the United Nations Private Sector Forum...
View ArticleJK azindua mtambo wa kufua Umeme Megawati 60 kupunguza makali ya mgao mkoani...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa na kubonyeza kitufe kuashiria kuzindua mradi wa kufua umeme wa megawati 60 huko Nyakato, Mwanza jana. Kushoto ni Waziri wa Nishati na madini Profesa...
View ArticleAirtel yaendelea kuunga mkono kampeni ya usalama barabarani
Kamanda Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, DCP Mohamed R. Mpinga. Na Mwandishi wetu AIRTEL kampuni ya mitandao ya simu za mkononi nchini mwaka huu yadhamini tena uchapishaji wa Stika za usalama...
View ArticleUS gives Syria one week to surrender chemical weapons or face attack
John Kerry tells press conference with William Hague in London that US intelligence blames Assad regime for gas attack By Patrick Wintour The US secretary of state has said that President Bashar...
View ArticleMuhimbili yajidhatiti kupambana na Ugonjwa wa Moyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Marina Njelekela (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uboreshaji wa huduma za magonjwa ya moyo katika hospitali ya taifa...
View ArticleWasimamizi wa mtihani waaswa kusimamia kwa umakini na uadilifu
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani). Na. Eleuteri Mangi-Maelezo Serikali imewataka wasimamizi watakaosimamia mtihani...
View ArticleBi. Joyce Fissoo afungua kikao cha siku mbili cha wadau wa Filamu kuhusu...
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo akitoa hotuba kwa niaba ya mgeni rasmi baada ya kufungua rasmi Kikao cha siku mbili cha Wadau wa Filamu kuhusu Mjadala wa Sera ya Filamu ambaye...
View ArticleMtoko wa kichama zaidi
Pichani juu na chin ni Wapenzi na wanachama wa CCM wakiwa wamependeza na ubunifu wa kutoka kichama zaidi wakati wa kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama aliyesimama Nzega kabla ya kuendelea na ziara ya...
View ArticleBeautiful thoughts on love
1. It hurts to love someone and not be loved in return. But what is more painful is to love someone and never find the courage to let that person know how you feel, and then regret it. 2. Maybe God...
View ArticleHizi ndio sababu za Job Ndugai zilizomfanya amtimue Mh. Mbowe Bungeni
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai. “Katika vikao vya Bunge, uamuzi wowote wa Spika unakuwa wa mwisho na hauwezi kupingwa na mbunge au waziri yeyote. “Mbowe nilimuomba...
View ArticleJK apokea taarifa ya ushindani wa biashara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea na kuisoma Ripoti Kuhusu Ushindani wa Kibiashara Duniani (Global Competitiveness Index – GCI) itolewayo kila mwaka na...
View ArticleGeorge Zimmerman akamatwa baada ya kumtishia mkewe, mkwe
George Zimmerman akiwa chini ya ulinzi wa askari kuelekea kituoni baada ya mkewe kutoa taarifa Polisi. Marekani, amekamatwa na polisi baada tuhuma za kumpiga mkwewe na kutishia kumpiga risasi mkewe na...
View Article