Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

George Zimmerman akamatwa baada ya kumtishia mkewe, mkwe

$
0
0

article-2416275-1BB8D4DE000005DC-944_634x429

George Zimmerman akiwa chini ya ulinzi wa askari kuelekea kituoni baada ya mkewe kutoa taarifa Polisi.

Marekani, amekamatwa na polisi baada tuhuma za kumpiga mkwewe na kutishia kumpiga risasi mkewe na familia yake.

Ugomvi huo umetoka na shutuma dhidi ya Zimmerman kwamba amejuwa na mahusiano na mchumba wake wa zamani baada ya kuonekana hana hatia katika kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabili.

Mchumba wake wa zamani, Veronica Zuazo, inasemekana waliachana baada ya kutokea ugomvi kati yao kutokana na Zimmerman kumpiga mara kwa mara na kusababisha uhusiano wao kuvunjika.

Mkewe Zimmerman, Shellie, alipiga simu 911 kuomba msaada ya tukio hilo juzi akisema kwamba anahofia maisha yake na familia yake kwani hajui ambalo mumewe anaweza kufanya. Binti huyo ameshaomba kupewa talaka na mumewe akidai kwamba baada ya kushinda kesi yake amekuwa mbinafsi sana.

article-2416275-1BB8E0A0000005DC-537_306x423

article-2416275-1BB8F964000005DC-193_634x413

Mwanasheria wa George Zimmerman akiongea na askari wakati wakielekea kituoni baada ya mteja wake kukamatwa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles