Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mwili wa Mwanamke alieuwawa kikatili Kawe Jijini wasafirishwa kwa Mazishi Mkoani Dodoma

$
0
0

001.Yusta

 

Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

002.Yusta

Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za mwisho.

003.Yusta

Wakinamama wakilia kwa uchungu.

004.Yusta

Mtoto wa Marehemu Baraka Simon(12) akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake mkubwa Lucy Ngorido.

005.Yusta

Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma 

006.Yusta

Safari imeanza.

007

Mtuhumiwa Musa Senkando ambaye bado anatafutwa na Polisi kwa mahojiano wananchi tunaomba msaada wenu kwani huyu mtu ni hatari sana katika jamii yetu. 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles