Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kumbukumbu ya Miaka 10 ya Ndg. Stephen S. Shilatu

$
0
0

babu

Ilikuwa dakika, saa, mwezi na sasa ni miaka 10 kamili tangu alyekuwa Baba wa Marehemu John Stephano Shilatu, Mzee STEPHANO SHIGEMELO SHILATU wa Kisesa Mwanza atutoke ghafla duniani mnamo tarehe 04/09/2003 kutokana na mradhi yaliyokuwa yanakusumbua.

Unakumbukwa na wanao, wajukuu, vitukuu, ndugu, jamaa na marafiki zako ambao hawataa wausahau uchesh, upendo, na huruma zako kwa kila mtu.

Tunazidi kumuomba Mwenyezi Mungu akupumzishe mahali pema peponi.

JINA LA BWANA LIHIMIDIWE! AMEN!!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles