$ 0 0 Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa dini wa mkoa wa Tabora baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya siku tatu mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)