Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Angalia Bongo Views Mada kuhusu Madawa ya Kulevya.

$
0
0
Kipindi cha cha BONGO VIEWS ndani ya Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, siku ya jumamosi Aug 24, 2013 kilizungumzia kuhussu athari za  madawa ya kulevya Nchini Tanzania.
Capture
Kipindi cha Bongo Views kitaendele tena hewani LIVE wiki siku ya Jumamosi Aug 30, 2013 MIDA ya Saa 5: PM kwa Saa za Marekani ya kati. Saa 6:PM jioni kwa Saa za EST US. Na Tanzania Saa 1:AM Usiku kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea. HAPA Global Entertainment and News Network (GENN).
 MADA: KUHUSU MUUNGANO
kuchangia kwa njia ya simu ..Utapiga simu number (913) 662-1190


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles