Taasisi ya Wazanzibari Wanaoshi Canada wasaidia Sare kwa Wauguzi na Madaktari...
Meneja wa tasisi ya Wazanzibari wanaoshi Canada (ZANCANA) Bishara Al-masroor (alievaa mtandio mweupe) akiwa na wakilishi wenzake wakimkabidhi msaada wa sare za wauguzi, Naibu Waziri wa Afya Zanzibar...
View ArticleMwenyekiti wa CCM Taifa awasili Dodoma, afungua Kikao cha Kamati kuu ya...
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleRais Putin wa Russia awamkali apiga marufuku maandamano wakati wa michezo ya...
Rais Vladimir Putin wa Russia amepiga marufuku maandamano wakati wa michezo ya Olimpiki ya msimu wa majira ya baridi kwa mwaka ujao wa 2014. Katika kufanikisha utekelezaji wa amri hiyo, watu...
View ArticleTamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Singida.
Msanii machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku akiwa amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki zikiwa zimetawala kila kona. Baadhi ya mashabiki...
View ArticleMapato katika halmashauri ya Singida yaporomoka kwa sababu mbalimbali ikiwemo...
Makamu Meya wa manispaa ya Singida na Diwani wa kata ya Mungumaji Bw. Hassan Mkata (kushoto) akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani.Kulia ni kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida. Diwani wa kata ya...
View ArticleAfrica Magic Entertainment brings viewers KONA!
KONA is a East African Telenovela where glitz and glamour meets grit and sweat; love and family confront betrayal and solitude; success and triumph are pitted against failure and desperation. In a...
View ArticleMtoto mmoja katika kila watoto 10 wenye umri wa miaka mitano anamiliki simu...
Kwa wastan nchini Uingereza watoto hukabidhiwa simu kwa mara ya kwanza wakiwa na umri wa miaka 11, ambapo ni kipindi ambacho ameingia shule. Takriban mmoja kati ya kila watoto 10 anamiliki simu ya...
View ArticleGENN Redio Inawaletea kipindi Kipya cha ”Bongo Views” kutoka kwa Wtanzania...
Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, inawaletea kipindi kipya cha BONGO VIEWS kitakacho endeshwa LIVE kila Jumamosi midaa ya Saa 5 PM za Marekani ya kati...
View ArticleKatibu wa CWT Sengerema apinga tuhuma za kuingilia majukumu ya DO.
Katibu wa Chama cha Walimu Wilaya ya Sengerema (CWT) Bw. Joseph Mashinji akikanusha tuhuma zinazomkabili za kuingilia majukumu ya Ofisa Elimu Msingi Wilaya ya Sengerema. Na. Mo Blog, Sengerema....
View ArticleUhaba wa Maji Sengerema waathiri Masomo Shule ya Sekondari Sengerema.
Mwandishi wa Habari Daniel Makaka wa redio Sengerema mkoani Mwanza akizungumza na Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Kilanga Maganya kuhusiana na tatizo la Uhaba wa Maji wilaya ya...
View ArticleWapiga Picha wa Zanzibar wapatiwa mafunzo ya Upigaji Picha.
Mkufunzi wa mafunzo ya kupiga picha yanayofanyika Jengo la ZBC, Karume House Mitsuhiro Hayao Matsuda kutoka Japan akitoa maelezo kwa washiriki (hawapo pichani) kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo....
View ArticleSikiliza kwa makini Miaka 50 ya “March On Washington”. Mahojiano na Profesa...
Ni nusu karne sasa tangu kufanyika kwa maandamano makubwa sana ya kudai haki za watu weusi, yaliyofanyika August 28, 1963 katika jiji la Washington hapa nchini Marekani. Prof. John Innis Mtembezi...
View ArticleKamati Kuu ya CCM yatengua kufukuzwa Uanachama Madiwani Wanane Halmashauri ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa...
View ArticleWatendaji Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wapewa mafunzo ya Bajeti...
Mkurugenzi wa Mashirika yasio ya Kiserikali toka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Marcel Katemba akisoma hotuba ya Katibu Mkuu. Mkurugenzi wa Mashirika yasio ya Kiserikali toka...
View ArticleKitengo cha Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria Zanzibar chafanya mkutano na...
Kaimu Meneja wa Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem akifafanua juu ya mikakati ya kumaliza Malaria Zanzibar katika mkutano na Waandishi wa Habari, huko katika ukumbi wa...
View ArticleTanzania yapokea msaada wa Bilioni 101 kutoka Jumuiya ya Umoja wa nchi za Ulaya.
Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Ulaya hapa nchini Filiberto Sebregondi. (Na Veronica Kazimoto – MAELEZO), Dar es Salaam. Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Ulaya imetoa msaada wa hundi yenye thamani ya...
View ArticleSerikali kuchimba Visima 300 nchini.
Afisa Masoko wa Wakala wa uchimbaji Visima na Mabwawa Bw. Nungu Egwaga akiongea na waandishi wa Habari juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya uchimbaji visima tangu kuanzishwa kwake mwaka 1997...
View ArticleSerikali yaboresa Mapato Sekta ya Misitu.
Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Bw. Valentine Msusa akijibu swali la mwandishi wa Habari kuhusu maboresho ya makusanyo ya mapato ya Serikali kwenye sekta ya...
View ArticleDkt. Nyamajeje Calleb Weggoro ateuliwa kuwa Msaidizi wa Rais, Masuala ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Nyamajeje Calleb Weggoro (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais, Masuala ya Ushirikiano wa Kikanda. Taarifa...
View Article