Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Taasisi ya Wazanzibari Wanaoshi Canada wasaidia Sare kwa Wauguzi na Madaktari Zanzibar.

$
0
0

1

Meneja wa tasisi ya Wazanzibari wanaoshi Canada (ZANCANA) Bishara Al-masroor (alievaa mtandio mweupe)  akiwa na wakilishi wenzake wakimkabidhi msaada wa sare za wauguzi, Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya (kulia) katika hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.

1

3

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, akiwa na Wazanzibar wanaoshi Canada katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi sare za wauguzi, kwenye ofisi za Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles