Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

GENN Redio Inawaletea kipindi Kipya cha ”Bongo Views” kutoka kwa Wtanzania wanaoishi Kansas City.

$
0
0
Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, inawaletea kipindi  kipya cha BONGO VIEWS kitakacho endeshwa LIVE kila Jumamosi  midaa ya Saa 5 PM za Marekani ya kati 6: PM Jioni EST na kwa saa za nyumbani Tanzania  ni Saa 1: AM (Yani Saba Usiku) kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea HAPA Global Entertainment and News Network (GENN)
1002365_565143880212453_1085499843_n
Muendesha wa kipindi cha Bongo Views Joshua Kijo Simon Madelkeka walioendelea kujadili  Mjadala kuhusu Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili.na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
Photo: BONGO VIEWS: ANDY MKINGA and BAVON
Wachangiaji kipindi  kushoto Mjombo Andrew Mkinga,  akiwa na Anko Bavon Mwakasungula, wakijadili Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
Kipindi cha Bongo Views  kitaendele  tena hewani LIVE wiki hii, siku ya Jumamosi Aug 24, 2013  MIDA ya Saa 5: PM  kwa Saa za Marekani ya kati.  Saa 6:PM jioni kwa Saa za EST US.  Na Tanzania Saa 1:AM Usiku kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea. HAPA Global Entertainment and News Network (GENN).Mhadala utakua kuhusu Madawa ya kulivya, Nchini
kwa kuchangia njia ya simu piga simu number  (913) 662-1190


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles