Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mtoto mmoja katika kila watoto 10 wenye umri wa miaka mitano anamiliki simu ya mkononi.

$
0
0

baby-phone-crave

Kwa wastan nchini Uingereza watoto hukabidhiwa simu kwa mara ya kwanza wakiwa na umri wa miaka 11, ambapo ni kipindi ambacho ameingia shule.

Takriban mmoja kati ya kila watoto 10 anamiliki simu ya mkononi wakati akifikisha umri wa miaka mitano.

Utafiti uanonyesha kuwa wazazi hutumia wastani wa paundi 125 sawa na shilingi takriban 312,500 kwa vifaa vya watoto wao na karibia paundi 246 sawa na shilingi 615,000 kwa simu zao wenyewe.

Mo Blog: Hayo ndio yanayojiri kwa wenzetu, mtoto wa miaka mitano kuanza kumiliki na kutumia simu ya mkononi.

JE WADAU HAYA NI MAENDELEO KUMKUZA MTOTO KI-TEKNOLOJIA AU NDIO KUMHARIBU NA KUMPOTEZA …?

HIVI BONGO MTU ANAANZA KUTUMIA SIMU AKIWA NI MINGAPI VILE??


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles