Kaimu Meneja wa Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem akifafanua juu ya mikakati ya kumaliza Malaria Zanzibar katika mkutano na Waandishi wa Habari, huko katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar.
Mtaalamu wa mbu waenezao Malaria katika Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Khamis Ameir, akionyesha moja mbu waenezao Malaria katika mkutano na Waandishi wa Habari huko katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliokuwepo katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar, wakifuatilia kwa makini taarifa ya Kaimu Meneja wa Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem hayupo pichani.
Mwandishi wa Habari Juma Abdallah wa Zenji Fm Radio akiuliza swali kwa Mtaalamu wa mbu waenezao Malaria katika Kitengo cha kuzibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Khamis Ameir (hayupo pichani) juu ya mikakati ya upigaji dawa huko katika ukumbi wa kitengo cha kudhibiti Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanziabr).