Mizigo ya Justin Bieber yakaguliwa uwanja wa ndege baada ya kuhisiwa kubeba...
Mabegi ya muimbaji kinara wa Marekani Justin Bieber umezuiliwa na kukaguliwa katika uwanja wa ndege wa Ft. Lauderdale uliopo Florida baada ya kutolewa dokezo kuwa msanii huyo na kundi lake wamebeba...
View ArticleZitto: Hati za kumiliki ardhi zitolewe upya, za dijitali na zihusishwe na...
Kamati ya Hesabu za Serikali imekutana na Wizara ya Ardhi kwa madhumuni ya kupitia Hesabu za Wizara kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 2012. Changamoto za Wizara ni nyingi sana na Mdhibiti na Mkaguzi...
View ArticleMbezi Luis na Basihaya kujengwa vituo vya mabasi yaendayo mikoani.
Msemaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bw. Gaston Makwembe (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari Mpango wa Halmashauri kujenga vituo vya Mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani katika...
View ArticleObama’s family welcomes a new black Portuguese water dog to White House.
President Barack Obama and his family have welcomed a playful new addition to the White House, a new dog called Sunny. The black Portuguese Water Dog joins the first family’s other four-legged friend...
View ArticleMadaktari tujisajili Daktari Konnect – ICT platform for health services.
Globally there are lots of advancements in ways ICT is used to improve accessibility, timely and best matched health services according to the patients conditions. With available technology todate,...
View ArticleAskari aliyetoa siri muhimu za kijasusi za Marekani ahukumiwa miaka 35 jela.
Askari wa Marekani Bradley Manning alietoa taarifa muhimu kwa mtandao wa Wikileaks amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 35 jela na pia amefukuzwa jeshini. Kabla ya hukumu hiyo waendesha mashtaka...
View ArticleRais Robert Mugabe anaapishwa mchana huu kuiongoza Zimbabwe kwa awamu ya saba.
Robert Mugabe anaapiswa leo kuwa rais wa Zimbabwe kwa awamu ya saba mfululizo. Siku hii ya leo ya Alhamisi imrtangazwa kuwa siku ya mapumziko nchini humo ili kuwapa nafasi wafuasi wanaomuunga mkono...
View ArticleUsalama Barabarani Kanda Maalum Dar yakusanya faini za zaidi ya Sh. Milioni...
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Suleiman Kova (kushoto). Na.Mo Blog Team Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam kimeendesha operesheni mbalimbali za kukamata...
View ArticleRais Museveni afunguka asema masomo ya ‘Arts’ yanachangia ongezeko la...
Rais Museveni wa Uganda amewakosoa wataalam wa elimu nchini humo kwa kuhamasisha masomo ya ‘Arts’ ambaye amedai yanachangia kuwepo kwa kiwango kikubwa cha wahitimu wa Vyuo Vikuu wasio na ajira....
View ArticleKamati Kuu ya CCM Taifa kukutana kesho kujadili maoni ya Wanachama juu ya...
Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukutana kwa Kamati kuu ya CCM taifa hapo kesho. Kamati Kuu ya CCM Taifa itakutana tarehe kesho tarehe 23.8.2013...
View ArticleMwanamuziki nguli Maalim Gurumo astaafu rasmi shughuli za muziki.
Mwanamuziki mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma Mzee Muhidin Gurumo (katikati) akizungumzia kustaafu rasmi kazi ya muziki aliyoifanya kwa muda wa miaka 53 katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini...
View Article20 bora wa Epiq BSS 2013 kuingia rasmi kambini kuanza mafunzo na sasa...
Mkurugenzi wa kampuni ya benchmark production inayoandaa shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search Rita Poulsen akizungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwaingiza washiriki wake walioingia...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda afungua kongamano la uwekezaji mkoani Manyara.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati. Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara...
View ArticleUNIC yawataka vijana kujitambua mapema ili kujenga taifa litakalokuwa na...
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyampulukano ya Wilayani Sengerema Mwl. Vedastus Mlokozi wakati...
View ArticleLigi Kuu ya Vodacom kutimua vumbu hapo kesho wakati tiketi za elektroni...
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi kesho katika viwanja saba tofauti huku mabingwa watetezi Yanga wakianza kutetea ubingwa wao kwa kuikaribisha Ashanti...
View ArticleWakala wa Ukaguzi wa Madini TMAA waiwezesha serikali kukusanya mapato ya Shs....
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TMAA Bruno Mteta akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jinsi wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania ulivyoiwezesha serikali kukusanya mapato kutoka katika sekta ya...
View ArticleNida waanza mchakato wa kuchukua alama za vidole na picha kwa ajili ya...
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na hifadhi hati cha NIDA Bw. Thomas William wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu idadi ya watu watakaochuliwa alama za vidole, ambapo amesema watu milioni...
View ArticleChokochoko bado zaendelea huku Rwanda ikiituhumu Kongo kwa kufyetua kombora...
Msemaji wa Jeshi la Rwanda Joseph Nzabamwita. Jeshi la Rwanda limeituhumu nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kufyetua makusudi roketi kwenye eneo la mpaka. Msemaji wa jeshi la Rwanda...
View ArticleDouble Tree by Hilton Dar es Salaam yagawa Taa 200 na kutoa mafunzo kwa...
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki (Mb) akitoa risala yake kwenye hafla ya kukabidhi Taa 200 za Nishati ya Jua kwa Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande ikiwa ni...
View ArticleClouds Media Group yaendesha Semina ya Fursa kwa Vijana wa Mkoa wa Tabora.
Mghani mahiri wa Mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa msisitizo, masuala ya fursa mbalimbali zinazopatikana katika suala zima la ujasiriamali mapema leo kwenye semina ya Fursa...
View Article