Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kawambwa akwepa kuzungumza na wananchi waliovunjiwa nyumba zao kupisha...

Mmoja wa kundi la Wananchi waliovunjiwa nyumba zao kupisha ujenzi wa  Chuo cha Afya cha Muhimbili (MUHANS)  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari ambae hakutaka jina lake litajwe ambapo alisema “...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Worth reading: A Pensioner & His Garden.

Do you want a lawn like this? Well, it’s easy in theory. You just  need to spend 30 hours a week gardening and do it for 30 years! That’s how long 70-year-old Stuart Grindle has spent turning a former...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya mwariadha Pistorius wa Afrika Kusini kuanza kusikilizwa mwezi Machi...

Bingwa wa mbio za Olimpiki kwa Watu Wenye Ulemavu Duniani Oscar Pistorius anatarajiwa kufikishwa mahakamani mwezi wa Machi mwaka ujao akikabiliwa na mashtaka ya kumuua mpenzi wake katika Siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa za elimu zinazotolewa na vyuo mbali mbali...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua maabara ya mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ( Tehama) ya chuo Kikuu huria cha Tanzania katika kituo cha Uratibu cha Chuo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meneja wa Pangani FM aibiwa fedha taslim na nyaraka muhimu katika Hoteli...

Muonekano wa nje wa Hoteli ya LISBON wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza lilipotokea tukio la wizi wa mali za mteja.(Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog). Na.Mwandishi wetu. Katika hali isiyo ya kawaida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood la Misri Mohammed Badie atiwa mbaroni.

Kiongozi wa kiroho wa kundi la ‘Muslim Brotherhood’ la nchini Misri Mohammed Badie amekamatwa mjini Cairo. Taarifa zinasema kiongozi huyo amewekwa chini ya ulinzi katika nyumba moja ya makazi katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete atoa heshima za mwisho kwa Nemela Mangula.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahamiaji haramu warejea makwao baada ya agizo la Rais Kikwete.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini  Dar es Salaam kuhusu wahamiaji haramu waliorejea kwao baada ya agizo la Rais Jakaya Kikwete...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea eneo...

    Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Goodluck Ole Medeiye na Makamu Mwekeiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira Mh.Abdulkarim Hassan Shah pamoja na wajumbe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda akutana na wahitimu wa SUA ambao sasa wamejiajiri.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Mary Nagu (wapili kulia), Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Adam Malima na Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka (Wanne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhaba wa Maji bado ni Changamoto kubwa kwa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.

Pichani  juu na chini ni baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Busisi kata ya Busisi wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza wakiteka Maji kando kando mwa Ziwa Victoria kwa matumizi ya Kunywa, kufua na kupikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanyarwanda wazidi kutapatapa na kupika Habari za Uwongo kwa Uongozi wa...

  Rais wa Rwanda Mh. Paul Kagame. Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO  Bw. Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM wamtaka Rais Shein amuwajibishe Mwanasheria Mkuu wa SMZ kutokana na...

Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu, akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka ili azungumze na waandishi wa habari wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Utawala UVCCM ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Tunu Pinda azindua mradi wa kusaidia Watoto Kike nchini.

  Mgeni rasmi  Mama Tunu Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya kumsadia Mtoto wa Kike, kushoto kwake ni Mkururugenzi Mtendaji wa TMARC Bi. Diana Kisaka ambao ndio waandaji wa mradi huo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dk. Shein afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dkt Shein, akwaapisha Mawaziri na Manaibu Katibu Wakuu na Manaibu wake, Ikulu. (picha: ZanziNews.com) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Admission Open For Academic Year 2013/14 In Top University In India and China.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu Mwenyekiti TASWA Maulid Kitenge afiwa na baba yake mzazi katika...

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwanachama mwenzetu wa TASWA, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waaandishi wa Habari za Michezo Tanzania –TASWA Bw. Maulid Kitenge (pichani), amefiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyumba yalazimika kubomolewa ili kumtoa kijana mwenye kilo zaidi ya 600...

Raia mmoja wa Saudi Arabia mwenye uzito wa kilo 610 amelazimika kuchukuliwa kwa ndege kupelekwa hospitali baada ya kushindwa kutoka chumbani kwake kwa muda wa miaka miwili na nusu. Jamaa huyo Khalid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Corporate Networking Mixer at Alliance Française.

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live