Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea eneo litakalojengwa mji mpya wa Kigamboni.

$
0
0

 

 

549

Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Goodluck Ole Medeiye na Makamu Mwekeiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira Mh.Abdulkarim Hassan Shah pamoja na wajumbe wengine wa kamati wakiangalia ukuta uliojengwa kuzuia mmomonyoko wa Bahari katika makazi yaliyojengwa bila kufuata utaratibu wa hifadhi ya Bahari wakati kamati hiyo ilipotembelea eneo litakalojengwa Mji mpya wa Kigamboni.( Picha na Clarence Nanyaro - Afisa habari Wizara ya Ardhi).

569

Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Goodluck Ole Medeiye,Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Abdulkarim Shah na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Grace Kiwelu wakijadiliana jambo wakati walipotembelea eneo litakalojengwa mji mpya wa Kigamboni.
586
Bi Mwajuma Ramadhan Pazi Mkazi wa Kibada Kigamboni akitoa maoni yake Kwa Naibu waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Goodluck Ole Medeiye na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Abdulkarim Hasani Shah kuhusu kushirikishwa kwa wananchi katika uendelezaji wa mji Mpya wa Kigamboni ili kupata maendeleo endelevu ya mradi huo.
590
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Goodluck Ole Medeiye akifafanua jambo kwa wakazi wa Kibada huko Kigamboni, ili weweze kupisha katika maeneo ambayo yamesha tathminiwa kwa ajili ya ulipaji fidia ili kupisha ujenzi wa Mji mpya wa Kigamboni.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles