Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu wahamiaji haramu waliorejea kwao baada ya agizo la Rais Jakaya Kikwete alilolitoa Juni 29, mwaka huu katika ziara yake ya mkoa wa Kagera.
Kamishina Mkuu wa Uhamiaji Bw.Magnus Ulungi (wa kwanza kulia mstari wa mbele) na Afisa Uhamiaji Mrakibu Bi.Rosemary Mkandala wakiwa katika mkutano wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi alipozungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu wahamiaji haramu waliorejea kwao baada ya agizo la Rais Jakaya Kikwete alilolitoa Juni 29, mwaka huu katika ziara yake ya mkoa wa Kagera.(Picha na Lorietha Laurence –Maelezo).