Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Mary Nagu (wapili kulia), Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Adam Malima na Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka (Wanne kulia) wakimsikiliza Magdalena Shirima, mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine aliyejiajiri kwa kusindika vyakula kuuza. Shirima ni mmoja kati ya wahitimu wa Chuo hicho waliojiajiri ambao walikutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kuzunguza naye Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
↧