Mtuhumiwa wa Wizi anusurika kufa kwa kipigo cha wananchi Kawe.
Mtu mmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi kumpa kipigo cha maana, leo mchana katika eneo la Mbezi-Darajani, Kawe mjini Dar es Salaam. Mtu huyo ambaye jina lake...
View ArticleMaji yawatesa akinamama na wanafunzi Kishapu.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kishapu, George Kessy (kushoto) akizungumza na mwandishi wa makala haya Joachim Mushi. Na Thehabari.com, Kishapu WASWAHILI wanasema ‘maji ni uhai’ na maisha bila...
View ArticleRais Kikwete atawazwa Omukuma (Chifu) wa Missenyi, ahitimisha ziara ya Kagera.
Picha juu na chini ni Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest...
View ArticleLHRC yatoa Taarifa ya nusu Mwaka ya matukio mbalimbali nchini kuanzia January...
Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mtowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya nusu mwaka ya kuanzia...
View ArticleWananchi wa Wilaya za Babati na Mwanga watoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Yahya Msulwa (aliyesimama) akizungumza na Wajumbe a Baraza la Katiba la Wilaya la Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara wakati wa kufunga mkutano wa...
View ArticlePSPF wazindua mpango wa uchangiaji wa hiari.
Mkurugenzi wa Uwekezaji, Mipango na Utafiti kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Bw. Gabriel Silayo(kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu maendeleo yaliyofikiwa na mfuko huo tangu...
View ArticleWadau wa Houston TX wampa hafla nzito Mpiganaji “The Ceo” Davis Mosha Katika...
Upscale Spot ndani ya Houston. Mpiganaji maarufu Davis Mosha akiteta jambo na wadau wa Houston, kulia ni Grace Mmari. Juliet, Christa wakifurahia jambo. Juliet na Christa wakichagua kitengo. Frank...
View ArticleWaziri Mkuu wa Thailand awasili Tanzania kwa ziara ya Siku tatu.
Waziri mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra akiwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Waziri mkuu...
View ArticleVijana waaswa kujitambua na kuthubutu ili kujiletea maendeleo.
Waziri wa Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk Fenella Mukangara akizungumza na washiriki wa kambi ya vijana jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua rasmi kambi hiyo ambayo imeanza...
View ArticleRed Cross teams up with the UN Foundation to fight malaria in Tanzania’s...
The International Federation of Red Cross and Red Crescent Societies (IFRC), together with the Tanzania Red Cross National Society and the United Nations Foundation’s Nothing But Nets campaign today...
View ArticleApple ban overturned by Obama administration.
President Barack Obama using a tablet computer. (Official White House Photo by Pete Souza). The White House has stepped into a patent war between Apple and Samsung by vetoing a ban on imports of iPads...
View ArticleAnayetuhumiwa kubaka watoto 11 kufikishwa mahakamani Hispania baada ya...
Maafisa nchini Hispania wamemkamata mwanamume anayetuhumiwa kuwanajisi watoto 11 walio kati ya umri wa miaka 4 na 15 nchini Morocco. Mtu huyo aliachiliwa hivi karibu baada ya kusamehewa na mfalme wa...
View Article50 Cent faces up to five years in jail if convicted of domestic violence and...
Rapper 50 Cent has pleaded not guilty to domestic violence and vandalism charges involving his ex-girlfriend. The 38-year-old performer, whose real name is Curtis Jackson, did not speak during a...
View ArticleNelson Mandela gets apology over bill blunder.
Johannesburg officials have apologized to Nelson Mandela after he was sent a warning that his water and electricity could be cut off over an unpaid bill. They said the notice demanding payment of...
View ArticleBenki ya KCB Tanzania yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi...
Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa KCB Benki Bi. Christina Manyenye (katikati) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa “Oxygen Flow meters” kwa...
View ArticleThe 3 Most Surprising Facts that Cause Food Poisoning.
During times of hot humid climate, everyone is worried about food poisoning. Simple and common-sense preventive measures like hand washing and proper preparation of foods will help prevent food...
View ArticleSuperSport yaja na burudani kemkem za ligi mbambali za soka katika msimu mpya...
Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar kuhusiana na msimu mpya wa ligi za soka katika...
View ArticleJapan yaadhimisha kumbukumbu ya miaka 68 tangu kufanyika kwa shambulizi la...
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe akiweka shada la maua sehemu ya kumbukumbu ya watu waliokufa kufuatia shambulio la Bomu la Nyuklia katika mji wa Hiroshima mwaka 1945. (Picha na Jiji Press/AFP)....
View Article