Upscale Spot ndani ya Houston.
Mpiganaji maarufu Davis Mosha akiteta jambo na wadau wa Houston, kulia ni Grace Mmari.
Juliet, Christa wakifurahia jambo.
Juliet na Christa wakichagua kitengo.
Frank Mutafungwa (Mbabe wa zamani Masaki) na Alex Kassuwi wakiangalia menu
Wahudumu walikuwa busy sio mchezo kuhudumia wadau.
Christa akimsikiliza “The Boss” alipokuwa akielezea jambo.
Juliet. Kila mtu makini kumsiliza mpiganaji Davis Mosha akiwapa wadau idea za kutoka.
The Boss, akitafakari jambo.
Frank akisiliza idea toka kwa The CEO Davis Mosha.
Kulia, Alex Kassuwi akichangia jambo katika hafla ya chakula iliyoandaliwa na marafiki wa karibu.
PICHA ZOTE NA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM