Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete afungua jengo la Mahakama Kuu kanda ya Bukoba.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akikata utepe huku akisaidiwa na  Jaji Mkuu Mhe....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afuturu na Wakazi wa Kagera Wilaya ya Misenyi.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera, baada ya kufuturu nao futari ya pamoja aliyoiandaa katika Kiwanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete aongoza Maadhimisho ya Kumbukumbu ya siku ya Mashujaa leo kambi...

  Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao/sime katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera leo. Picha juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waislamu nchini watakiwa kutumia kipindi cha mfungo kutoa sadaka, kuwahudumia...

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa nasaha zake alipowafuturisha viongozi wa dini mbalimbali mkoani Lindi. Waislamu nchini wametakiwa kutumia kipindi cha mfungo wa Ramadhani kuomba na kutubu dhambi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EAC Bra Survey team in Uganda.

The EAC Brand 2013 survey team embarked on a week-long mission to Uganda on how citizens perceive the regional integration activities, programme and how much they understand of the Community. The...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtu mmoja nchini China amewaua watu 5 kwa kuwachoma kisu na kujeruhi wengine...

Polisi nchini China inamsaka mtu mmoja aliyeripotiwa kuwaua watu watano kwa kuwachoma kwa kisu na kujeruhi wengine watatu. Shirika la habari nchini humo –Xinhua limesema mtu huyo mwenye umri wa miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu waula serikali yawaanzisha mpango maalum wa...

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini toka Wizara ya Kazi na Ajira Ridhiwan Wema akieleza kwa waandishi wa habari juu ya mpango wa serikali kupitia Wizara hiyo kukuza ajira kwa vijana wahitimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtuhumiwa wa mfululizo wa matukio ya ubakaji Afrika Kusini akutwa amekufa...

 Mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa mmoja wa wawabakaji wabaya zaidi nchini Afrika Kusini Sifiso Makhubo (pichani) amekutwa amekufa katika sero ya gereza alilokuwamo. Sifiso Makhubo ambaye alikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK awapa siku kumi na nne majambazi na wahamiaji haramu katika mikoa mitatu...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameamuru majambazi na wahamiaji haramu wote katika mikoa mitatu nchini kujisalimisha katika muda wa siku 14 kuanzia leo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Two male passengers from Tanzania with heroin detained in Hong Kong.

Hong Kong Customs yesterday (July 25) detected three drug trafficking cases, with seizures totally valued at $4.78 million, in the department’s escalated anti-narcotics efforts to combat drugs....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Musoma Textile Mills (T) Ltd emerged ‘Solid Waste Management winner 2013’.

 The cleaner Production Centre of Tanzania (CPCT) dealing with Resource Efficiency and Cleaner Production (RECP) has conducted training on RECP to all manufacturing industries in Tanzania. The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Kikwete awataka wakazi wa Lindi kuhakikisha watoto wao wanakua katika...

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka  wakazi wa mkoa wa Lindi kuhakikisha kuwa vijana wao wanaishi maisha ya uadilifu, wanamcha Mwenyezi Mungu na kusoma elimu ya Dunia ili wasipotee  katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyekuwa kiongozi wa IMF Strauss-Kahn kufunguliwa mashitaka mapya kwa madai...

Aliyekuwa kiongozi wa Shirika la Fedha ulimwenguni – IMF Dominique Strauss-Kahn atakabiliwa na kesi nyingine kuhusiana na madai ya kuendesha biashara ya ukahaba katika mji wa Lille nchini Ufaransa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Green Waste Pro ikishirikiana na Viongozi kata ya Kivukoni na kanisa la...

Mtendaji wa kata ya Kivukoni Bw. Renatus Ruhungu akizungumzia hatua yao ya kushirikisha wadau katika zoezi la kufanya usafi manispaa ya Ilala, ambapo amesema mwezi ujao wanajiandaa kushirikiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Archbishop Tutu ‘would not worship a homophobic God’.

South Africa’s Nobel peace laureate Archbishop Desmond Tutu says he will never worship a “homophobic God” and will rather go to hell. The retired archbishop was speaking at the launch of a UN-backed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice Of America).

Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni ya DELINA  Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania kutumia za trilioni 44 katika utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa...

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) alipokutana nao kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete azindua mradi wa Umeme, Barabara, Kivuko na wilaya mpya ya...

  Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo. Kivuko kipya cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo kilichozinduliwa na Rais Kikwete jana. Rais Kikwete akihutubia umati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Futari ya Pamoja DMV.

Omar Hadji Ally kutoka Pennsylvania Jumamosi July 27, 2013 akiongoza swala wakati Watanzania wa DMV na marafiki zao walipojumuika pamoja kwenye futari ya pamoja inayofanyika kila mwishoni wa wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KCB watoa Msaada wa mashine ya Ultrasound kuboresha afya ya Uzazi.

 Meneja wa KCB tawi la Mwanza, Joseph Njile (kushoto) akikabidhi mashine ya kisasa ya Ultrasound kwa mwakilishi wa mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza kabla ya kuikabidhi kwa uongozi wa hospitali...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live