Wateja wa Tigo waendelea kujinyakulia Bajaj katika droo ya tatu ya “Miliki...
Meneja Ubunifu wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Jacqueline Nnunduma (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar, wakati wa kuendesha droo ya tatu ya promosheni...
View ArticleWaziri Mkuu Mh. Pinda azungumza na Watanzania waishio London nchini Uingereza.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London. Kulia ni Mkewe Mama Tunu. Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na mkewe Mama...
View ArticleMaandamano makubwa yafanyika Tunisia kupinga serikali ya mpito.
Maelfu ya raia wa Tunisia wameandamana katika mji mkuu Tunis wakitaka kuondoka madarakani kwa serikali ya mpito katika maandamano makubwa kuwahi kushuhudiwa nchini humo tangu mzozo wa kisiasa kuanza...
View ArticleRais Kikwete na Mama Salma wamjulia hali Mh.John Momose Cheyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama...
View ArticleONE Africa and Big Brother Africa Collaborate to Fight Poverty.
The Ruby Housemates exploded with excitement as soon as Ice Prince made a stylish entrance in the Big Brother House. The Nigerian superstar took time out of his busy schedule to pay the Housemates a...
View ArticleMwanamke mmoja nchini Ufaransa atangaza kuwa tayari kutoa huduma ya...
Mwanamke amejitolea kunyonyesha watoto wa mashoga wa kiume kwa gharama ya Euro 100 kwa siku. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 29 amejielezea kuwa ni muuguzi aliyesomea katika tangazo lililotolewa...
View ArticleFormer America’s President George W. Bush health watch.
Former President George W. Bush successfully underwent a heart procedure in Dallas, after doctors discovered a blockage in an artery during his annual physical.
View ArticleTigo yakabidhi Bajaj kwa washindi 7 wa droo ya tatu ya ‘Miliki Biashara Yako’.
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Khalid Shabani katika hafla iliyofanyika Soko la...
View ArticleDk. Mahanga na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wakagua Ujenzi wa...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akiwaonesha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ilala (Jimbo la Segerea), kituo kipya cha Polisi...
View ArticleMNEC wa Temeke atembelea Kituo cha Watoto walio katika mazingira magumu cha...
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akiwa na Viongozi na Watoto wanaoishi katika mazingira magumu na kuwakabidhi zawadi/msaada ili kuwasaidia Watoto hao wa kituo Cha Upendo Development group cha Temeke kata 14.
View ArticleMfanyabiashara maarufu mkoani Arusha ERASTO MSUYA apigwa risasi na kufariki...
Pichani askari Polisi wakiwa eneo la tukio kwa ajili ya kuubeba mwili wa Marehemu ERASTO MSUYA. Mfanyabiashara maarufu wa madini na mmiliki wa hoteli ya SG RESORT na MEZZALUNA mkoani Arusha Milionea...
View ArticleMtoto wa muimbaji Usher Raymond almanusura kupoteza maisha alazwa ‘ICU’baada...
Mtoto mkubwa wa mwanamuziki Usher wa Marekani aitwaye Usher Raymond V, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali moja, kufuatia kupata ajali katika bwawa la kuogelea ya muimbaji...
View ArticleRais Kikwete akutana na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na baadhi ya wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam jana Agosti 7, 2013. Kushoto ni Naibu Waziri...
View ArticleMeet Your New Boss: Buying Large Employers Will Enable China To Dominate...
-The 21 st. Century will be the Century of CHINA not America. By Michael. Are you ready for a future where China will employ millions of American workers and dominate thousands of small communities...
View ArticleMkurugenzi wa Maelezo na Mkurugenzi wa Utamaduni watembelea Banda la Wizara...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Assah Mwambene (kulia) akizungumza jambo wakati yeye na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman...
View ArticleWakala wa Majengo (TBA) Katika Maonesho ya Nane Nane Nzuguni Dodoma.
Wakala wa Majengo (TBA), ulianzishwa mwaka 2002 kupitia Sheria ya Wakala Namba 30 ya mwaka 1997. Lengo la kuanzishwa TBA ni kutoa huduma bora na ya gharama nafuu ya makazi kwa watumishi wa umma na...
View ArticleMabalozi wa nchi za bara la Asia wazungumzia maonesho ya nane ya filamu za...
Kiongozi wa mabalozi saba kutoka nchi za Bara la Asia, ambaye ni Balozi wa Pakistan Tajammul Altaf (wane kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya...
View ArticleKCB benki Tanzania yazindua kampeni ya ‘nunua madawati 10 upate mengine 90’...
Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa KCB Benki Bi. Christina Manyenye (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na waalimu wakuu wa shule 7 za msingi jijini Dar wakati...
View Article