Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Wateja wa Tigo waendelea kujinyakulia Bajaj katika droo ya tatu ya “Miliki Biashara yako”.

$
0
0

_DSC0016

Meneja Ubunifu wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Jacqueline Nnunduma (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar, wakati wa kuendesha droo ya tatu ya promosheni ya Tigo ya Miliki Biashara Yako ambapo mpaka sasa jumla ya wateja 17 wamefanikiwa kupata  zawadi za Baajaji. Kushoto ni Meneja Bidhaa wa Kampuni Simu za Mkononi ya Tigo, Husni Seif na kulia ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Abdallah Hemedy.

_DSC0004

Meneja Ubunifu wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Jacqueline Nnunduma akiwasiliana na mmjoa kati ya washindi Saba walioshinda katika droo ya tatu ya Miliki Biaashara yako.

Washindi hao ni. Wankaba Makibibi (25),  Sunday Juma (30),  Adolf Isdory (30), Idd Mohamed (31), Tito Mkude (51), Abdalah Seleman (25) na Said Khamis.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles