Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London. Kulia ni Mkewe Mama Tunu.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).