Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Assah Mwambene (kulia) akizungumza jambo wakati yeye na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwasoko walipotembelea banda la Magazeti ya Serikali Tanzania Standard Newspapers (TSN) Wachapishaji wa magazeti ya Daily News, HABARILEO, Sunday News, HABARILEO Jumapili na Spotileo, jana Nzuguni Dodoma. Kushoto ni Afisa Masoko na Mauzo wa TSN, Chikira Mgheni na Afisa Masoko, Francis Kihinga.
Viongozi hao kutoka Wizarani walitembelea Taisisi zote zilizo chini Ya Wizara hiyo ikiwa ni Idara ya MAELEZO, TSN, TBC, BASATA, BODI YA FILAMU, TASUBA, IDARA YA MICHEZO NA ILE YA VIJANA.
Wakiwa Bodi ya Filamu na Kulia ni Afisa Ukaguzi wa Filamu, Tabu Magembe