Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

LHRC yatoa Taarifa ya nusu Mwaka ya matukio mbalimbali nchini kuanzia January – June 2013.

$
0
0

1

 

Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mtowe (kulia), akizungumza katika  mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya nusu mwaka ya kuanzia Januari hadi Juni 2013 ya kituo hicho kuhusu mambo  mbalimbali yaliyotokea nchini. Kushoto ni Mkurugenzi  wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio.

2

Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio, akizungumza katika mkutano huo.

3

Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mtowe (kulia), akizungumza katika mkutano na  waandishi wa habari Dar es Salaam. Wengine ni watafiti wa kituo hicho.

4

Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria mkutano huo.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles