Inspirational ….Something to learn !
Japan may have lost their chance at the 2014 FIFA World Cup in the match against Greece last week, but they won hearts all over the world with their incredible gesture after – they stayed back to...
View ArticleKamati ya Maji King’ongo Dar wakagua ujenzi wa mradi wao wa Maji...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King’ongo, Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam, kuhusu...
View ArticleNyusi akutana na Nyalandu!
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa kupitia chama cha Frelimo, Filipe Nyussi akizungumza na Waziri wa Mali Asili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu kwenye hoteli ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro (katikati)...
View ArticleJopo la Wahariri latembelea miradi ya nyumba za gharama nafuu wa NHC Mtanda,...
Juzi, Alhamisi (Julai 10, 2014) na jana Ijumaa (Julai 11, 2014) jopo la Jukwaa la wahariri takriban 85 walitembelea kwenye miradi yetu miwili, mmoja wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda mkoani...
View ArticleGari aina ya Ford Expedition V8 inauzwa
MAKER: FORD MODEL: FORD EXPEDITION V8 YoM: 2000 CC: 5400 COLOR: SILVER MAWASILIANO: 0713327106/0756673327
View ArticleBe Humble, Love & Respect Those Around You – Good Story!
John worked at a meat distribution factory. One day, when he finished his work schedule, he went to the meat cold room (freezer) to inspect something but in a moment of bad luck, the door closed and...
View ArticleA TRUE STORY: Don’t mess with old people
CALL THE POLICE WHEN YOU’RE OLD, AND YOU DON’T MOVE FAST ANYMORE. George Phillips, an elderly man from Walled Lake, Michigan, was going up to bed, when his wife told him that he’d left the light on...
View ArticleESCROW yatinga Kigoma
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambambe (kulia) na Katibu Mwenezi wa Chama hicho na Mbunge wa Kigoma kusini Mh. David Kafulila.(Picha na Maktaba). Na Mwandishi wetu Chama cha NCCR Mageuzi...
View ArticleMtemvu atoa msaada wa tani 5 za vyakula kwa vikundi vya wasio na uwezo...
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa...
View ArticleMdau Anthony Mark Shayo ndani ya Maracanã kushuhudia LIVE fainali za Kombe la...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo akipata Ukodak ndani ya uwanja wa Maracana kwenye jiji la Rio de...
View ArticleBalozi Mero awaandalia futari Watanzania Geneva
Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum...
View ArticlePinda azungumza na Watanzania London
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto...
View ArticleThe Most Expensive Things in the World!
The International Space Station is the most expensive object ever made by man. Hovering 380 kilometers above us, it is worth about 150 billion dollars. The most expensive Bonsai tree in the world is...
View ArticleNaibu Waziri wa Katiba na Sheria kutembelea Asasi zinazotoa msaada wa...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo Jumatatu, Julai 14 hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam...
View ArticleWhat is eaten in one week around the world..!
This is undoubtedly one of the most interesting e-mails I’ve ever received. Take a good look at the family size diet of each country, and the availability cost of what is eaten in one week. Notice the...
View ArticleKamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu...
View ArticleKatibu Mkuu Kiongozi akutana na ujumbe toka Chuo cha St Thomas cha Marekani
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na ujumbe kutoka Chuo cha St. Thomas cha Marekani uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 16, 2014. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y....
View ArticleRais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo. ( PICHA NA IKULU).
View ArticleMatokeo ya Mitihani ya Ualimu iliyofanyika Mei 2014 yatangazwa rasmi
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya Ualimu kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote. Matokeo ya Mitihani ya Mei 2014...
View ArticleNaibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tizeba aongea na Wafanyakazi wa Wakala...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba, akifafanua jambo wakati akiongea na Menejimenti na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (Tgfa), alipokutana nao hivi karibuni....
View Article