![10483693_10152613768874274_7623359552862710850_n]()
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo akipata Ukodak ndani ya uwanja wa Maracana kwenye jiji la Rio de Janeiro, Brazil alipoenda kushuhudia LIVE fainali za kombe la Duniani 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.