Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mtemvu atoa msaada wa tani 5 za vyakula kwa vikundi vya wasio na uwezo Temeke, Dar

$
0
0

1. Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  akipokea msaada

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014, Temeke, Dar es Salaam. 

2. Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada

 Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada huo wa vyakula kwa niaba ya kituo hicho.

3. Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang'ombe akipokea msaada

 Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang’ombe msaada wa vyakula kwa ajili ya kituo hicho.

4. Ernest Theones wa Kituo cha Upendo cha Maganga, Temeke Mikoroshini, akipokea msaada

Ernest Theones wa Kituo cha Upendo cha Maganga, Temeke Mikoroshini, akipokea msaada kwa ajili ya kituo hicho.

5. Said Seif wa Kikundi cha Bajaji Disabled akipokea msaada

Said Seif wa Kikundi cha Bajaji Disabled akipokea msaada kwa ajili ya kikundi hicho.

6. Jasmin John kutoka kundi maalum la Kinamama wenye ulemavu akikabidhiwa msaada

Jasmin John kutoka kundi maalum la Kinamama wenye ulemavu akikabidhiwa msaada kwa ajili ya kundi hilo.

7. Mtemvu akizungumza na waandishi baada ya kukabidhi msaada, huo wenye vyakula vyenye uzito wa tani tano, vya sh. milioni kumi

Mtemvu akizungumza na waandishi baada ya kukabidhi msaada, huo wenye vyakula vyenye uzito wa tani tano, vya sh. milioni kumi.( Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles