Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kamati ya Maji King’ongo Dar wakagua ujenzi wa mradi wao wa Maji uliofadhiliwa na TBL

$
0
0

01

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King’ongo,  Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam,  kuhusu hatua aliyofikia ya usafishaji maji katika ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kamati hiyo iliyokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo jana, iliongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa huo, Demetrius Mapesi (kulia). Wajumbe wengine ni Anna Kibwana (wa pili kulia) na Emannuel Isimbula.(PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
IMG_4197


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles