Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda azungumza na Watanzania London

$
0
0

PG4A5022

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwenye  ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini  Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

PG4A5031

 Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014 wakimsikiliza  Waziri Mkuu wakati alipowahutubia.

PG4A5024

 Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014 wakimsikiliza  Waziri Mkuu wakati alipowahutubia.

PG4A5066

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akisalimiana na baadhi ya Waliohudhuria  katika mkutano kati yake  na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London.

PG4A5078

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (aliyevaa nguo yenye rangi za bendera ya Taifa) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London Julai 11, 2014.

PG4A5089

PG4A5108

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkewe Tunu (kushoto) na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol  Chipeta wakizungumza na Shima Kombe baada ya  mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5112


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles