Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh. Kamala atembelea banda PPF Katika...
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho...
View ArticleDC afunga chuo feki cha Uuguzi Huruma ya Mungu Yatosha Sengerema
Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha kilichogundulika kuwa ni feki katika kata ya Nyehunge wilayani Sengerema wakiwa ndani ya darasa lao huku wakiwa wamejawa na majonzi baada ya...
View ArticleFASTJET katika maonesho ya 38 ya Biashara viwanja vya Saba Saba Jijini Dar
Mmoja wa wateja wa Fastjet akipata maelezo ya huduma ya kununua Tiketi ya Ndege kupitia Mtandao wa simu. Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro akitoa maelezo katika banda la Fastjet...
View ArticleMgombea Urais wa Msumbiji atua Tanzania kusaka kura, akutana na Mama Maria...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimlaki Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO, Filipe Nyusi alipowasili jana jioni Julai 9, 2014, kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleLibe aungana na iftar ya Tanzanian Muslim Community in Washington DC...
Na Abou Sharty Washington DC Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe “Libe”, siku ya Jumapili July 6, 2014 alipata fursa ya kujumuika katika futari ya pamoja...
View ArticleRais Kikwete katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi....
View ArticleMUST READ….Story: The Successful Tennis Player
Arthur Ashe. A renowned Tennis Player, was stricken by HIV from a contaminated blood transfusion which he received during his surgery. He was a legendary player. People from all over the world were...
View ArticleKinywaji cha OH2 Energy drink gumzo SabaSaba
Vinywaji vya OH 2 vikiwa kweywe friji. Na Mwandishi wetu, KINYWAJI chenye ladha laini ya kupunguza uchovu na kuongeza akili na nguvu mwilini cha OH2 Energy Drink ‘Great Taste’ or ‘Test you want’...
View ArticleDr. Mwinyi mgeni rasmi maonyesho ya Silaha
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Hussein Mwinyi. Na Mwandishi wetu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk...
View ArticleM-pesa kuwezesha uwekezaji UTT
Afisa Mkuu Mwendeshaji wa Dhamana ya Uwekazaji Tanzania (UTT) Simon Migangala akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wateja wa mfuko huo watakavyonufaika na...
View ArticleHalima Mdee: Jihadharini na Matapeli
Na Mwandishi wetu Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima Mdee (pichani) amewatahadharisha wananchi juu ya utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wasiojulikana katika mitandao ya kijamii kwa kutumia...
View ArticleDC Iramba ahamia kijijini kufanikisha Ujenzi wa Zahanati
Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoani Singida, Yahaya Nawanda. Na Mwandishi wetu MKUU wa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,Yahaya Nawanda, ameahidi kuishi kwa siku tano katika nyumba za kabila la kisukuma...
View ArticleJapani yasaidia Wakimbizi Tanzania
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi...
View ArticleWaziri wa Mazingira Dkt. Binilith Mahenge akanusha kutumia Facebook yenye...
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira Dkt Binilith Mahenge (pichani) amewataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazotolewa kwa jina lake kupitia mtandao wa facebook kwa kuwa yeye hatumii...
View ArticleMary Nagu mgeni rasmi Kongamano la nne la Kitaifa la Makatibu Muhtasi...
Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na...
View ArticleWaterCar’s Panther!
Is it a Jeep? Is it a Speedboat? No Actually, this beaut is Water Car’s new fast amphibian, the Panther! It acts like both. It operates equally well as a jeep or a speedboat. Vehicle Layout: Rear...
View ArticlePinda akutana na Watanzania waishio Reading Uingereza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano ili kuzungumza na watanzania waishio Reading...
View ArticleKongamano la nne la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) lafunguliwa leo Jijini...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji na Uwezeshaji ambaye pia ni Mlezi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Mh. Dk. Mary Nagu akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nne la...
View ArticleJK akutana na Mgombea Urais wa Msumbiji Ikulu ndogo mjini Tanga
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mgombea wa Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Frelimo Filipe Nyusi Ikulu ndogo ya...
View Article