Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mgombea wa Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Frelimo Filipe Nyusi Ikulu ndogo ya Tanga kwa mazungumzo.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa kwenye picha ya pamoja na a Mgombea wa Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Frelimo Filipe Nyusi aliyeambatana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Ikulu ndogo ya mjini Tanga.