New Safari Restaurant // Under New Management // Now We Cater To All Events...
SAFARI FRESH FOOD DAILY//NO PRE-COOKED MEAL NEWLY RENOVATED. GREAT AMBIANCE. GRILL BEEF // NYAMA CHOMA. FISH COOKED IN SO MANY WAYS. FISH KABOB//MISHIKAKI YA SAMAKI. ZEGE//CHIPS MAYAI. MAANDAZI / CHAI...
View ArticlePeruzi matokeo ya Kidato cha Sita hapa
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya kidato cha sita kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote. BOFYA HAPA KUONA MATOKEO...
View ArticleTanga and Tanesco signs a power supply agreement in Dar
Tanzania Electric Supply Company Deputy Managing Director, (Investment) Decklan Mhaiki (2nd L), Tanga Cement Co Ltd Managing Director, Reinhardt Swart (2nd R) exchanging contact documents for power...
View ArticleKitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi...
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi...
View ArticleThe story of a village boy who turned his problems into opportunities
This is the story of Santosh Kaveri- a boy who carved his own road out of a remote village in Karnataka, to one day find himself being rewarded by Ratan Tata for his invention. Read on to know how he...
View ArticleNigerian Student Builds Solar-Powered Car
A young Nigerian student doing his last year in electronic and electrical engineering at Obafemi Awolowo University, Ile-Ife, has built a car operating on solar power. Segun Oyeyiola. Segun Oyeyiola...
View ArticleMkataba wa Gesi wa Statoil na Tanzania
Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)? Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway...
View ArticleHizi ndizo Sera za Bwana Liberatus Mwangombe kuhusu Darasa la Kiswahili
Wanasema kwamba eti Tamko juu ya tuhuma za mgombea wakiti cha urais Bwana Liberatus Mwangombe kuhusu darasa la kiswahili. SWALI: Jee hizi ndio tuhuma za kulishutumu Darasa la kiswahili aliozotuhumu...
View ArticleWaziri Nyalandu akutana na Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa, Beverly Hills,...
Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana...
View ArticleRidhiwani Kikwete atoa msaada kwa Jeshi la Polisi Chalinze
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza na uongozi wa polisi Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Kipolisi ya Chalinze pamoja na wananchi waliojitokeza katika hafla ya makabidhiano ya...
View ArticlePinda akutana na Balozi Marekani nchini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Marekani Nchini, Mhe. Mark Childress kablaya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleSitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta. Na Mwandishi wetu Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti...
View ArticleAirtel yapunguza gharama za mawasilano kwa wageni/watalii
Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu...
View ArticleWananchi wataka STAMICO ipewe nguvu kusimamia Sekta ya Madini nchini
Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakiwahudumia wageni waliotembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yaliyomalizika hivi karibuni. -Waunga mkono kauli ya Waziri...
View ArticleInvitation to Join Advanced Level Secondary Education at Wama-Nakayama...
Advertisement- Wama Nakayama Form Five 2014 Final by moblog
View ArticleThe State University of Zanzibar (SUZA) wins African Diaspora Fellowship...
Press Release – CADFP by moblog
View ArticleTapeli lililojidai Kishoka wa Tanesco ladakwa Live Mlimani City
Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City. Na Mwandishi wetu TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini,...
View ArticleBei ya umeme chini zaidi Tanzania – Serikali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea eneo la jukwaa mara baada ya kuwasili katika eneo palipofanyika uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) wilaya...
View ArticleWafanyabiashara wa Nyama Kibaha wagoma
Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara wa mabucha mjini Kibaha wamegoma kufanya shughuli hiyo kufuatia halmashauri ya mji wa Kibaha kuwahamisha kutoka machinjio ya awali na kuwapeleka katika machinjio mpya...
View Article