Wizara yacharukia Uvuvi Haramu Igunga
Na Mwandishi wetu Wizara ya Mifugo na Uvuvi kanda ya kati imewaagiza watu wote wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi,lililopo katika Kijiji cha Mwanzugi,wilaya ya Igunga,Mkoani...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal akabidhi zawadi za washindi wa mashindano ya Qur-An...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur-aan, yaliyofanyika jana...
View ArticleWaziri Dk. Kamani atema cheche Busega
Mbunge wa Jimbo la Busega, ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, akishuhudia maji yakitiririka baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Kijiji cha Manala Kata ya...
View ArticleBalozi wa Palestina awaomba wanahabari Tanzania kupaza sauti
Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Abdul Sheriff...
View ArticleAzania Bank Ltd yafuturisha wateja wake na yatima kituo cha Mitindo House...
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited, Bw.Charles Singili akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata ftari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,mwishoni mwa wiki...
View ArticleRC na RAS nchini kujengewa uwezo na kuhuisha uhai wa utekelezaji wa majukumu yao
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akifungua mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Hawa Ghasia...
View Article17 Creative Zebra ( Pedestrian )Crossings!
To see art you no longer have to visit museums or art galleries. If you’re lucky enough to live in one of these cities, you can observe beautiful street art masterpieces just by crossing the street....
View ArticleBasi la AM Coach lapata ajali Simiyu na kujeruhi watatu
Na Mwandishi wetu Watu watatu wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya Basi la AM Coach iliyotokea katika kijiji cha Sayusayu wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu na kukimbizwa katika Hospitali ya rufaa ya...
View ArticleSerikali yawaondolea hofu wastaafu Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Mpango Maalum wa Mikopo kwa Wafanyakazi wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar hapo Zanzibar Ocean View. Na Othman Ame...
View ArticleStory about Happiness!
This story is about a beautiful, expensively dressed lady who complained to her psychiatrist that she felt that her whole life was empty, it had no meaning. So, the lady went to visit a counselor to...
View ArticleMeya wa Ilala Jerry Silaa akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Ukonga...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa Jana amefanya ziara fundi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Ukonga Moshi Bar kilometa 3 kiwango cha Changalawe awamu ya kwanza. Ikiwa...
View ArticleTBL yatoa msaada wa Sh. Mil. 45 za Kisima Kijiji cha kambi ya Simba Karatu
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Damian John wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa BRN
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN)...
View ArticleAfrica’s oil & gas sector continues to show substantial growth, despite...
-PwC’s ‘Africa oil & gas review’ analyses what has happened in the last 12 months in the oil & gas industry within the major African markets The challenges facing oil & gas companies...
View ArticleNHC yakanusha taarifa za upotashaji zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe akisoma taarifa ya shirika hilo kukanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi wa...
View ArticleTofauti za Dini zisiwagawe Watanzania – Mwinyi
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Karimjee kuhudhuria Futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (wa pili kutoka kushoto) kwa...
View ArticleAfrican Civil Society Calls for Official Participation at US-Africa Leader...
The first ever U.S.-Africa Leaders Summit will take place August 4–6 With just weeks to go before the first ever U.S.-Africa Leaders Summit, which takes place August 4–6, a coalition of international...
View ArticlePinda akutana na viongozi wa makampuni ya Somito na Citi Bank
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Citi Bank ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 23, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi , Dr. Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya...
View ArticleHata wazungu wanawatambua kina Mama Lishe!
Pichani ni Raia wa Kigeni walipokutwa na Camera ya MOblog mjini Iringa wakijipatia mlo wa mchana kwa Mama Lishe wanaofanyabiashara zao ndani ya uzio wa kituo cha Redio Nuru FM. Pamoja na Halimshauri...
View ArticleBizarre Wedding Traditions…!
When a man and a woman decide to spend their lives together they unite in the holy sacrament of matrimony, that being said marriages are weird and involve myriad of strange and bizarre (relatively)...
View Article