Pichani ni Raia wa Kigeni walipokutwa na Camera ya MOblog mjini Iringa wakijipatia mlo wa mchana kwa Mama Lishe wanaofanyabiashara zao ndani ya uzio wa kituo cha Redio Nuru FM.
Pamoja na Halimshauri kuwa nyanyasa watoa huduma za Lishe mitaani kwa kuwafukuza na kuwavunjia vibanda vyao bado watu kama hawa Raia wa kigeni wanawathamani na kutambua umuhimu wao wa kuweka mwili katika Lishe bora.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).