Nigeria has the potential to become a major economic force in the coming...
The report finds that Nigeria has the potential to expand its economy by roughly 7.1 percent per year through 2030 There is no disguising the challenges that Nigeria is facing. The world is well aware...
View ArticlePeople on Animal Skin!
Paintings and drawings to resemble animal skins on human beings.
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Mkutano wa 45 wa CPA Jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wajumbe wa Chama cha Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...
View ArticleKiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 128 zatolewa kwa ajili ya ujenzi wa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu...
View ArticleNews Alert: Air Algerie plane with 116 on board falls off radar
An Air Algerie flight with 116 people on board has dropped off radar, prompting a search for the missing plane, the airline’s operator said Thursday. Flight 5017 lost radar contact 50 minutes after...
View ArticleGSK yatangaza kuwasilisha kwa Chanjo ya Malaria ya RTS, S
GSK leo Julai 24-2014 imetangaza imewasilisha maombi ya udhibiti wa chanjo ya malaria RTS,S katika shirika ya Ulaya ya Madawa Agency (EMA). Uwasilishaji unafuata Ibara ya 58 ya utaratibu, ambayo...
View ArticleJumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) Imeandaa Kongamano la...
Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kongamano hilo litafanyika tarehe 27 Julai 2014 siku...
View ArticleMtandao wa Wanawake na Katiba Wawanoa Wajumbe Bunge Maalum
Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticlePinda ahudhuria mkutano wa Maziwa Makuu Nairobi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano Maalum wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji,...
View ArticleCarnegie Mellon University in Rwanda Graduates Its First Class
Carnegie Mellon University in Rwanda Graduates Its First Class. -The ceremony awarded 22 students with master’s degrees in information technology (IT) Carnegie Mellon University (CMU) in Rwanda...
View ArticleElimu duni na isiyo sahihi ya matumizi ya Kondomu inachangia maambukizi mapya...
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na...
View ArticleHow to Keep Your Food Fresh for Longer
Nothing is more wasteful than food that hasn’t been eaten and allowed to go bad. It’s not only a waste of money but also a waste of good food that in other parts of the world would be worth more than...
View ArticleMkutano wa kuwanoa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wanamtandao wa...
Usu Mallya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo. Doreen E. Maro kutoka...
View ArticlePinda akutana na Makamu wa Rais wa Sudan
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na makamu wa Rais wa Sudan, Hassabo Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi...
View ArticleRais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya...
View ArticleWajumbe Bunge Maalum kupigania usawa na mgawanyo wa rasilimali
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Fedrick Msigala akizungumza na wanahabari mara baada ya Mkutano wao na Mtandao wa Wanawake na Katiba uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam....
View ArticleAl-Maktoum watangaza puguzo la ada, Diploma, Degree na Certificate
Al-maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) imetoa ofa ya punguzo la ada katika ngazi zote za cetificate, diploma na degree katika kozi zote wanazo zitoa. AMCET ambayo inataraji kupokea...
View ArticleKipindi cha “Mimi na Tanzania” chavuka mipaka ya Tanzania, safari ni ndani ya...
Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha ‘Mimi na Tanzania’ Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili...
View ArticleBunge Maalum la Katiba kuendelea – SITTA
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana (hawapo pichani) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel...
View Article