Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na makamu wa Rais wa Sudan, Hassabo Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na makamu wa Rais wa Sudan, Hassabo Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).