Kumekucha uzinduzi wa Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” ya Rose Muhando
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Moroco jijini Dar es salaam wakati akielezea kuhusu kukamilika kwa...
View ArticleMkuu wa Mkoa Morogoro aongoza mamia kumzika Mke wa Mbunge a Jimbo la Morogoro...
Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo...
View ArticleChadema Makete wafanya uchaguzi mkuu kwa mara ya kwanza
Msimamizi wa Uchaguzi Bw. Alfred Kayombo (kulia) akimtangaza mshindi wa nafasi ya mwenyekiti Bw. Ibrahim Ngogo. Na Edwin Moshi, Makete Kwa mara ya kwanza katika historia, chama cha demokrasia na...
View ArticleManispaa ya Kinondoni yawafukuza watumishi tisa na wengine wawili wapewa...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
View ArticleTamko la jukwaa la Katiba kuhusu Bunge Maalum la Katiba linaloanza Dodoma...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza...
View ArticleTAMWA yatoa takwimu tatizo la mimba za utotoni
Na Mwandishi wetu Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha watoto wao yaani mimba za utotoni na ndoa za utotoni na hii ni changamoto kubwa...
View ArticlePinda mgeni rasmi sherehe za kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Ruvuma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi Askofu wa Kanisa la Kiinhili la Kilutheri Dayosisi ya Ruvuma, Amon Joel Mwenda katika ibada ya kumsimika kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo iliyofanyika...
View ArticleKigoma kumuunga mkono Kafulika
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. Na Mwandishi wetu Wananchi wa Kigoma kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa na kesi ya Mbunge wao David Kafulila, wakisema kuwa sasa kiburi cha serikali ya...
View ArticleSerikali yasisitiza utekelezaji wa Sheria ya usambazaji na uuzaji wa kazi za...
Mkurugenzi Sera na Utafiti wa TRA Bw. Tonedeus Muganyizi akizungumza na wana umoja wa uingizaji na uuzaji wa kazi za filamu na muziki zinazotoka nchi za nje wakati wa kikao cha wafanyabiashara hao na...
View ArticleUltimate Security yajikita zaidi Kiulinzi
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate security,Jacqui Bothma na Meneja wa huduma kwa wateja wa kampuni hiyo Pambwe Maulid wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya 12 na...
View ArticleBodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi...
Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la...
View ArticleWatanzania waaswa katika sherehe za Idd
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salumu. Na Mwandishi wetu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salumu amewaasa watanzania kusherehekea sikukuu ya Idd El fitri kwa uadilifu na...
View ArticleUchaguzi wa BAVICHA watangazwa
Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba) Na Mwandishi wetu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche,...
View ArticleWaziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda aandaa futari nyumbani kwake Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es...
View ArticleShirika la nyumba NHC laendelea kuongeza ajira kwa vijana
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi Rachel Kasanda akikabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa Hassan Soud Katibu wa kikundi cha Changamoto kwa niaba ya vikundi vingine vya wilaya ya Ilala ambazo...
View ArticlePinda ashiriki mazishi ya Dr. Kapiri
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo...
View ArticleMsanii wa Bongo Movie Ester Kiama afuturisha wasanii wenzake jijini Dar
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa...
View Article