Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, katika mazishi yaliyofanyika nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam.
Mwili wa aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, ukitemswa kaburini katika mazishi yaliyofanyika nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).