Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango watembelea...
Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakijaziwa maji ya magadi soda katika chupa za maji ya kunywa walipotembelea bonde la Engaruka ambako kuna hazina kubwa ya magadi soda....
View ArticleKamati ya maandalizi ya mkutano wa Diaspora nchini Uingereza 2014
Hon. Peter Kallaghe with Tanzania UK Diaspora Task Force at formation meeting. Kufuatia hatua ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kuunda kamati ya muda (Tanzania UK Diaspora Task Force)...
View ArticleVifusi vya ndege vyaonekana Australia?
Meneja Mkuu wa Halmasshauri ya usalama wa ndege nchini Australia, Bw. John Young. Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya nchi hiyo imenasa picha za vitu vinavyoonekana kama...
View ArticleTaasisi ya Karimjee watoa milioni 70 kudhamini masomo ya tiba ya kansa kwa...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Karimjee Jivanjee (KJF), Hatim Karimjee (kushoto), akikabidhi begi kama ishara ya kutoa ufadhili kwa Dk. Rehema Laiti kwa ajili ya kusoma shahada ya pili ya Udaktari bingwa wa...
View ArticleWakazi wa Dodoma waja na maoni tofauti juu ya muungano
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba. Na Damas Makangale, MOblog aliyekuwa Dodoma Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu...
View ArticleMwanri: Uwanja wa Ndege Mtwara kuboreshwa
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo. Na Saidi Mkabakuli Katika...
View ArticleHELSB yaanzisha utaratibu mpya wa kurejesha mikopo kwa njia ya mtandao
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa bodi ya mikopo Tanzania, Cosmas Mwaisobwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam. Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano...
View ArticleSamsung Electronic Tanzania has launched its Service Center at the Heart of...
Mr. Dongha Jang official opens the Kariakoo Service center. In a move aimed at enhancing the level of satisfaction and protecting its customers, leading electronic company Samsung Electronics Tanzania...
View ArticleBarabara za juu kuondoa tatizo foleni jijini Dar
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya...
View ArticleShule ya Sekondari Mabibo na Ubalozi wa Japan wasaini mkataba wenye thamani...
Mstahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan. Shule ya Sekondary Mabibo iliyopo katika Manispaa ya...
View ArticleRais Kikwete awasili Dodoma, leo kuhutubia Bunge Maalum la Katiba
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...
View ArticleSerikali kufufua kiwanda cha matairi cha General Tyre
Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakitazama bidhaa zilizokuwa zikitengenezwa na kiwanda cha matairi cha General Tyre. Serikali ina mpango wa kufufua kiwanda hicho ambacho...
View ArticleAn Evening With the President: Rais Jakaya Kikwete, Sunday 30th March 2014 at...
The Tanzanian High Commission in conjunction with the Tanzania UK Diaspora Task Force are hosting an evening with our President Rais Dr. Jakaya Kikwete here in London, giving Tanzanians from across...
View ArticleSerikali kutoa ruzuku kwa wavuvi ili kuimarisha sekta ya uvuvi nchini
Watendaji wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi na baadhi ya waandishi wa habari wakipanda kwenye boti ndogo kwa ajili ya kuelekea kwenye kisiwa cha Bongoye kufanya mkutano. Frank Mvungi- Maelezo SERIKALI...
View ArticlePinda afunga wiki ya Maji mkoani Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne...
View ArticleRais Kikwete kuifungua Barabara ya Mkata – Handeni na Handeni – Korogwe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kesho anatarajiwa kuifungua rasmi barabara ya Mkata – Handeni ambayo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami. Barabara hii...
View ArticleYachukua miaka 60 kujenga hospitali DRC
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo(pichani) amefungua hospitali mjini Kinshasa miaka 60 tangu hospitali hiyo kuanza kujengwa. Waziri wa Afya, Felix Kabange Numbi, alisema hiyo ndio...
View ArticleMaadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani kuadhimishwa kesho tarehe 23...
Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na kuadhimisha kuzaliwa kwa Shirika hilo lililoanzishwa tarehe 23 Machi, 1950 kulingana na kauli mbiu. Kauli mbiu...
View ArticleRidhiwani ahani misiba miwili Chalinze
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akiwa kwenye msiba wa Zaidi Muharami aliyefariki kwa ajali ya kugongwa na gari katika kata ya Fukayosi. Mgombea Ubunge wa Jimbo...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Njombe aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Tenki la Maji Mwongolo...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi (katikati) akielekea kwenye ujenzi wa mradi wa maji Mwongolo Makete mjini kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi, kulia ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh....
View Article