Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mkuu wa Mkoa wa Njombe aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Tenki la Maji Mwongolo Makete Mjini

$
0
0

IMG_3629

Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi (katikati) akielekea kwenye ujenzi wa mradi wa maji Mwongolo Makete mjini kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi, kulia ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro na kushoto ni katibu tawala msaidizi upande wa maji mkoa wa Njombe Bw. Christopha Nyandiga.

IMG_3630

Meneja Mamlaka ya maji Makete mjini Bw. Yonas Ndomba akisoma taarifa ya ujenzi wa tanki la maji Mwongolo, Makete mjini mbele ya mkuu wa Mkoa.

IMG_3631

 Mkuu wa mkoa wa Njombe kapt. Mstaafu Aseri Msangi akimsikiliza meneja wa maji Makete mjini akisoma taarifa, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro.

IMG_3632

Meneja wa mamlaka ya maji makete mjini, Bw. Yonas Ndomba akimkabidhi taarifa ya ujenzi wa tanki la maji la Mwongolo Makete mjini Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi.

IMG_3633

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapeteni Mstaafu Aseri Msangi akiweka jiwe la msingi ujenzi wa tanki la maji lililopo Mwongolo Makete Mjini.

IMG_3635

Ujenzi wa tanki la maji Mwongolo Makete mjini ambao umewekwa jiwe la msingi na mkuu wa mkoa wa Njombe.

IMG_3636

IMG_3627

Tanki la Maji lililopo Mwongolo ambalo linatumika sasa kama linavyoonekana.(Picha zote na Edwin Moshi, Makete).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles