Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif Idd awafariji wananchi waliokumbwa na maafa ya mvua maeneo ya...

Moja ya kati ya Nyumba  tatu zilizoathirika na upepo mkali uliovuma na kuathiri nyumba mbali mbali katika Mtaa wa Kwaalamsha Mjini Zanzibar. Jamii Nchini imetahadharishwa kuwa makini katika kipindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania in the top five places of the inaugural A.T. Kearney African Retail...

-Ground breaking Report Sheds Light on Retail in Africa -Rwanda, Nigeria, Namibia, Tanzania and Gabon occupy the top five places of the inaugural A.T. Kearney African Retail Development Index (ARDI)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya kuchunguza ajali ya MV Kilimanjaro 2 yakabidhi ripoti kwa Waziri wa...

Mwenyekiti wa Bodi ya kuchunguza ajali ya Meli ya MV. Kilimanjaro 2, Khamis Ramadhan Abdallah (katikati) akisoma baadhi ya vipengele vya Ripoti hiyo wakati wa kumkabidhi  Waziri wa Miundo mbinu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ze Katuni Bunge na Sanaa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kusini kupata Hospitali ya Rufaa

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula, Dkt. Shaibu Maarifa (katikati) akizungumza na Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilimpotembelea Ofisini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Higher Education in Science & Technology Critical for Africa’s Future, say...

Some of the officials in a group photo with President Kagame (C). Seated from L-R; Jessica Alupo, Uganda minister for education, Makhtar Diop, World Bank vice president for Africa region, Vincent...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa mpango mkakati wa miaka mitano kukabiliana na maradhi...

Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Jaji Joseph Warioba aliyosoma kwenye Bunge maalum la Katiba leo

Hotuba Ya Mkiti Wa Tmk_ Bunge Katiba by zainul_mzige21

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukaguzi Maalumu akaunti ya Tegeta Escrow – Hadidu rejea-PAC

Hadidu rejea 1)      Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO 2)      Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Membe ataka Wanachama wa Jumuiya ya Madola kuunganisha nguvu kuwa sauti moja...

Picha juu na chini Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa  Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikondolelo Hoteli yaendeleza burudani Jijini Dar Es Salaam

Sehemu ya Kuogelea kwa watu wa rika zote. Hivi niviunga vya wateja kupata nafasi ya mapumziko pamoja na huduma mbalimbali Na:Zuhura Masoud. Hoteli ya Kimataifa ya Ikondolelo ya Kibamba jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Addis Ababa Fistula hospital to benefit from International Women’s Day...

Chairperson of the African Union Commission, Dr. Nkosazana Dlamini Zuma. A five thousand US dollar ($5,000) donation has been pledged to the Addis Ababa Fistulae treatment hospital in Addis Ababa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Viwanda na Biashara yawataka Wananchi Kufuata Sheria na Taratibu

Afisa Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Viwanda na Biashara Nicodemus Mushi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukaguzi wa leseni za biashara kwenye ukumbi wa MAELEZO jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kituo cha uwekezaji chafanikiwa kusajili Miradi 9,442

Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Pendo Gondwe (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya kituo hicho katika kuhamasisha uwekezaji wa ndani kwenye ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msikilize Mbunge wa Kilwa Mhe. Mutaza Mangungu akichambua faida za uraia Pacha

Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo siku ya Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha Msikilize hapo chini.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Maji azindua mradi wa maji wa Shilingi Milioni 300 kijiji cha Mvumi...

Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akisalimiana na Mkurugenzi ya Halmashauri Wilaya Chamwino Mkoani Dodoma Adrian Jungu.baada ya kuwasili kuzindua mradi mkubwa wa maji wenye uwezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri wasitokane na wabunge

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha Rasimu ya Katiba  mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014. (Picha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujumbe wa Wanawake wasichana watembelea Hospitali ya Kaloleni kujionea huduma...

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha kujionea hali ya huduma kwa akina mama wajawazito na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pangani FM Redio yapongezwa kwa kukuza Kiswahili

Mzee Bakari (mwenye shati ya bluu) wa Kijiji cha Madanga wilaya ya Pangani, akipongeza Kituo cha Redio cha Pangani FM kuendeleza Kiswahili kupitia kipindi cha Lugha ya Kiswahili. Na.Mwandishi wetu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Binti wa Mfalme wa Sweden Ikulu Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana Machi 19, 2014 Princess Victoria, ambaye...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live