Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mkutano wa mpango mkakati wa miaka mitano kukabiliana na maradhi yasioambukiza Zanzibar wafunguliwa rasmi

$
0
0

DSC_1212

Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.

DSC_1215

Mkuu wa Kitengo cha maradhi yasio ambukiza Dk,Omar Mwalim akiwasilisha mada kuhusu Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.

DSC_1219

Mwakilishi kutoka Danida tawi la Zanzibar Dr.Jutta katikati akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.

DSC_1221

Meneja wa Mradi wa Kumaliza Malaria Zanzibar Abdulla Suleiman wapili kulia akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View.

DSC_1238

Wasiriki wa Mkutano wa kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar wakijadiliana kuhusiana na maswali mbalimbali yaliojitokeza katika mkutano huo,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
DSC_1226
Wasiriki wa Mkutano wa kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar wakijadiliana kuhusiana na maswali mbalimbali yaliojitokeza katika mkutano huo,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View .(PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR).
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles