Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete akutana na Binti wa Mfalme wa Sweden Ikulu Dar

$
0
0

sw1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana Machi 19, 2014

Princess Victoria, ambaye ameambatana na Waziri wa Biashara wa Sweden. Bi Ewa Björling, yuko nchini kwa ziara ya siku tatu.

sw2

sw3

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles