Ridhiwani arudisha fomu za Ubunge Chalinze
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa...
View ArticlePinda afunga maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya Figo- Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye viwanja wa Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014....
View ArticleSakata la Waziri Mahanga latinga Shirika la Kazi duniani (ILO)
.Waziri alimburuzwa mahakamani kwa kosa la kukiuka sheria za ajira . Ashinda kesi kiaina baada ya Mahakama kusema hakuna ushahidi wa kutosha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa...
View ArticlePolisi yajipanga vizuri kuzuia vurugu siku ya uchaguzi Kalenga
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa Ramadhani A. Mungi akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa na kuwambia namna Jeshi hilo...
View ArticleKapteni Chiligati: Kuufuta Muungano ni sawa na kufuta utaifa wetu
Kapteni John Chiligati ambaye ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Na Jovina Bujulu, Maelezo Dodoma. Muungano wa Tanzania kwa miaka 50 umekuwa ni undugu hivyo kuufuta ni sawa na kufuta utaifa wetu...
View ArticleMadereva wa Bodaboda na Bajaj waandamana mpaka ofisi za Chadema Kinondoni,...
Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za Chadema makao makuu Kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini. Mmoja wa Madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari mda...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal ahitimisha Sherehe za Miaka 10 ya siku ya Pai Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Maandamano ya Wanafunzi na Walimu wa Shule za Sekondari, Msingi na Vyuo Vikuu, wakati wa Sherehe za maadhimisho...
View ArticleTigo Reach for Change yawazawadia washindi watatu dola 25,000 kila mmoja...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Bw. Eduardo Quiroga, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi hundi kwa washindi watatu waliopewa dola 25,000 kila mmoja chini ya mradi wa Tigo Reach for Change. Tigo...
View ArticleNyumba inapangishwa bei poa kabisa
Nyumba yenye vyumba vitatu kikiwemo Master Bedroom inapangishwa Maeneo ya Mbezi Beach, Barabara ya Muafaka nyuma ya Art Gallery almaarufu kama Jogoo. Nyumba hii inauzio pamoja na geti. Kama utapenda...
View ArticleWananchi Rukwa waungamkono Serikali kutenga Bajeti Maalum kukabiliana Vifo...
Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Baadhi...
View ArticleViongozi wa Barclays Africa Group walivyotembelea nchini
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Africa, Kennedy Bungane (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Malawi nchini, Bi. Flossie Asekanao Gomile-Chidyaonga wakati wa mkutano uliondaliwa kwa wateja na wadau wakati...
View ArticleMagadi Soda kuliingizia Taifa Shilingi Bilioni 480 kwa mwaka
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Abel Ngapemba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO. Katikati ni mkuu wa...
View ArticleBoniface Makulilo azungumzia maisha katika jeshi la Marekani kwenye kipindi...
Boniface Makulilo alipokuwa katika Jeshi la Maji la Marekani (Navy). Mtanzania Boniface Makulilo ametumikia Jeshi la Maji (NAVY) hapa Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran)...
View ArticleNigeria: At least 16 die in stampede for government jobs
At least sixteen people have died in stampedes after over half a million citizens turned up to take a test for fewer than 5,000 immigration posts during a recruitment drive. Interior Minister Abba...
View ArticleTigo Ngorongoro Marathon kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na Malaria...
Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha akizungumza na waandishi wa habari mapema leo wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni hiyo katika mbio za ‘Tigo Ngorongoro Marathon’ zitakazofanyika 19...
View ArticleJaji Joseph Warioba kuwasilisha bungeni Rasimu ya KATIBA kwa masaa 4 leo
NA ZAMARADI KAWAWA MAELEZO, DODOMA Kamati ya Maridhiano ya Bunge Maalum la KATIBA waridhia Jaji Joseph Warioba kuwasilisha bungeni Rasimu ya KATIBA kwa masaa 4 leo Jumanne, Machi 18, 2014 Wabunge wa...
View ArticlePinda azindua mradi wa Maji Kibaigwa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa...
View Article