Video: “Chochea Mabadiliko Kuleta Usawa wa Kijinsia”
Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Dunia tarehe 8 Machi mwaka huu, kipindi pekee maalum cha Wanawake Tanzania Wanawake Live kilipata nafasi ya kuhudhuria kilele cha maadhimisho hayo katika mikoa ya...
View ArticleWafanyakazi Airtel wachangisha fedha kwa ajili ya wanawake wanaougua kansa
Wafanyakazi wanawake wa Airtel wakitoa huduma ya chakula kwa wafanyakazi wenzao wakati wa tafrija fupi waliyoiandaa kwa dhumuni la kukusanya fedha ili kuwachangia wagonjwa wa kansa waliopo hospitali...
View ArticleSerikali yajipanga kuwa na Sera ya Filamu
Mtendaji Mkuu Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akiwasilisha Rasimu ya awali ya Sera ya Filamu wakati wa moja ya kikao cha wadau cha kujadili rasimu ya awali ya Sera ya Filamu kilichofanyika hivi...
View ArticleTanzania Kuwa na Ubalozi wa Tanzania Nchini Korea
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda akimweleza Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Muungano kutoka Korea Bw. Ahn Hong Joon, Mipango mbalimbali inayofanywa na Tanzania...
View ArticleTigo yazawadia simu za kisasa wateja wake bora wa Facebook na Twitter
Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii George Katoto akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutoa tuzo kwa wateja wake bora walioshiriki zaidi katika kurasa za Facebook na Twiiter za kampuni hiyo mapema...
View ArticleKura 487 zampa Sitta Uenyekiti Bunge Maalum la Katiba
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Wasira akiwa na Mjumbe mwenzie wakielekea katika ukumbi wa Bunge kwa Ajili ya Upigaji kura ya Nafasi Mwenyekiti Leo Mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la...
View ArticleWaendesha “Bodaboda”, Bajaji, sasa kukiona Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa...
View ArticlePinda akutana na Waziri wa Uchukuzi wa Burundi pamoja na Mwenyekiti wa Kamati...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya...
View ArticleMashindano ya Mbuzi za Hisani yachangisha m795 tangu kuanzishwa 2001
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo, Bw. John Wanyancha (kulia) akiongea na waadishi wa habari wakati wa kutangaza Udhamini wa Mashindano ya mbio za mbuzi yatakayofanyika mwezi Juni .Wengine ni Karen...
View ArticleCTI watembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Bw. Steve Kilindo (wa tatu kushoto), akiwaelekeza jambo wadau kutoka Shirikisho la wenye viwanda Tanzania (CTI), waliofanya ziara...
View ArticleWatanzania washauriwa kuwekeza na dhamana ya Uwekezaji Tanzania
Mkurugenzi wa Masoko Na Mahusiano Kutoka Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Bwana Daudi Mbaga akitoa Mada Kuhusu Kuwekeza kwenye Mifuko iliyo chini ya Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Kwajili ya Maisha Mara...
View ArticleNBC launches direct proposition to its Customers
NBC Bank Tanzania Managing Director, Ms. Mizinga Melu (L) pressing a laptop button to official launch the NBC Direct proposition in Dar es Salaam yesterday. Others from second left are; NBC Head of...
View ArticleUbelgiji yaipa Tanzania msaada wa sh. bilioni 40 kusaidia sekta ya Kilimo na...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwalile (kulia) akisaini mkataba wa msaada ambao serikali ya Ubelgiji imetoa Euro milioni 20 sawa na sh.bilioni 40 za Kitanzania kuisaidia Tanzania....
View ArticleMega Trade watoa msaada kwa waliokumbwa na maafa wilaya ya Hai – Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya...
View ArticleSamia achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bunge maalum la Katiba
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti Mteule wa Bunge hilo Bw. Samwel Sitta akibadilishana Mawazo na Mjumbe wa Bunge Hilo Mohamed Seif Khatib ndani ya Ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma. Katibu...
View ArticleTFDA yateketeza vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 188
Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza akizungumza na wanahaabari (hawapo pichani) kuhusu vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo.Kulia ni Afisa Habari wa...
View ArticleSerikali yatoa ufafanuzi kuhusu vitambulisho kwa wandishi kwenye Bunge maalum...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na wabahabari (hawapo pichani) kuhusu utoaji wa Vitambulisho vya Waandishi wa Habari kwenye shughuli za Bunge Maalum la Katiba....
View ArticleRais Kikwete apokea Ripoti ya mgawanyiko wa watu kwa Umri na Jinsia leo...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014...
View ArticleWizara ya Afya yamwaga ajira kwa Watumishi 27,795 kwa mwaka 2005/2013
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamwaja akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi(MMAM).Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari...
View Article