Kenya: President Kenyatta and other MP’s to take a pay cut.
Photo – Forbes Kenyan President Uhuru Kenyatta has announced that he and his cabinet will take a pay cut to help reduce the government’s large wage bill. President Kenyatta has announced that both he...
View ArticleMpango wa maendeleo waanza kuzaa Matunda Mbeya
Kiongozi wa Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili Kushoto) akipata maelezo ya maendeleo ya Mradi wa Majiya Mtiririko Kijiji cha Igurusi...
View ArticleMatukio mbalimbali katika picha kwenye Bunge la Katiba mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge la Katiba bungeni mjini Dodoma Machi 10, 2014.  Kutoka kushoto ni  Samuel Sitta, Kingunge Ngombale Mwiru, Profesa Anna Tibaijuka, Joseph...
View ArticleTigo yazindua matawi mapya Njombe na Korogwe
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mh. Sarah Dumba akikata utepe kuzindua tawi jipya la Tigo lililozinduliwa Mkoani Njombe mwishoni mwa wiki, anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo wa nyanda za juu kusini Bw....
View ArticleTBL watembelea miradi ya taasisi ya Ace Africa waliyoifadhili Arumeru
 Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye...
View ArticleBado kuna upungufu wa Majaji nchini – Jaji Rutakangwa
Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini...
View ArticleShina la CCM Maryland lafunguliwa, Mrisho Mzese Mwenyekiti, Marco Mbullu Katibu
Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa...
View ArticleKatibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi apokea magari mawili kwa ajili ya mafunzo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili...
View ArticleMwalimu wa Marehemu Dr.William Mgimwa amuombea kura mjukuu wake Godfrey...
Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akimkumbatia mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa kwenye eneo la Tosamaganga kata ya Kalenga mahali...
View ArticleRussia will soon face EU sanctions
Officials will meet in London today to identify Russians who will be subject to asset freezes and travel bans in the hopes that it will persuade the Kremlin to withdraw its occupation in Crimea....
View ArticleWafanyakazi wa Tigo Dodoma washiriki zoezi la uchangiaji Damu
Afisa Mauzo wa Tigo Bw. Moses Simon (kushoto) akisaidiwa kuchangia damu na wakala wa uchangiaji damu kutoka Hifadhi ya Taifa ya Damu Tanzania Bw. Revocatus Ntenga. Wafanyakazi 33 wa Tigo waliweza...
View ArticleWatanzania wahimizwa kusoma Majarida mbalimbali ili kujiongezea ufahamu
Cosmas Njingo-afisa habari na mawasiliano wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro akichangia mada. Â Â Zadock Kitomary-Mkulima bora mara mbili mfululizo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru...
View ArticleMen carrying stolen passports were not terrorists
Police released footage of the two men carrying stolen passports as they boarded the plane Officials have said, the two men carrying stolen passports on the missing Malaysian airline flight MH370 were...
View ArticleWajumbe Bunge Maalum la Katiba Waunga mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha...
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti wa Kamati ya Uundaji wa Kanuni zitazotumika katika bunge Maalum la Katiba Prof. Costa Ricky Mahalu akisoma azimio la kutunga na kupitisha kanuni za bunge...
View ArticleSamweli Sitta achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangala....
View ArticleUongozi wa Chadema wilaya ya Makete waondolewa madarakani, uongozi wa mpito...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Makete Shaaban Mkakanze. Na Edwin Moshi, Makete Hatua hiyo imefikiwa baada ya mkutano wa wanachama uliofanyika jumamosi machi 8, mwaka huu kwa pamoja kuazimia...
View ArticleTaarifa ya msiba New York na Tanzania
Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha...
View ArticleHatimaye Wazazi wa mtoto Adorotea Njavike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi...
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. TUNAOMBA SANA MSAADA WENU MTOTO ATIBIWE KWANI ANATESEKA SANA MTOTO HUYU....
View ArticleMtandao wa Utepe Mweupe wakemea tabia ya uuzaji damu Hospitalini
Baadhi ya wananchi wa Namanyere wilayani Nkasi wakichangia damu katika siku ya uzinduzi wa siku ya Utepe mweupe. Mmoja wa wananchi akichangia damu huku akisaidiwa na daktari. Mkuu wa Wilaya ya Nkasi,...
View Article