[AUDIO]: DAKIKA 90: Kupotea kwa Air Malaysia na takwimu za usalama wa anga...
Ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines ikiruka kutoka Roissy-Charles de Gaulle Airport nchini Ufaransa mwaka 2011.(Photo Credits: PressTv) Wakati harakati za kutafuta ndege ya Shirika la ndege...
View ArticleTuboreshe Rasimu iliyopo – Zitto Kabwe
Na Zitto Kabwe, MB Wiki ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri...
View ArticleHeart Touching Story of a Little Boy
I was walking around in a Target store, when I saw the lady in the cashier hand this little boy some money back. The boy couldn’t have been more than 7 or 8 years old. The Cashier said, ‘I’m sorry,...
View ArticleUzinduzi wa album ya Mungu ni Mwaminifu wafana EAGT Temeke
Mgeni rasmi Ndg. Phares Magesa akitoa nasaha wakati wa uzinduzi wa album ya Mungu Ni Mwaminifu ya kikundi cha Shama kutoka Chuo Kikuu cha DUCE Changombe. Mgeni rasmi alizindua album hiyo. Mgeni rasmi...
View ArticleWaandishi wa Habari waaswa kutumia kalamu vizuri katika kipindi cha kuelekea...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia kalamu vizuri hasa katika kipindi hiki cha uandaaji wa katiba...
View Article[AUDIO]:Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi...
Mdau Ernest Makulilo ambaye huandika kuhusu masuala ya Scolarship HAPA na pia kutoa video za suala hili HAPA. UNATAKA SCOLARSHIP? Unajua pa kuzipata? Unajua namna ya kuzipata? Masharti yake je? Makosa...
View ArticleRidhiwani azuru shule iliyoezuliwa na Kimbunga Kijiji cha Kikwazu Chalinze
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu...
View ArticleMawakala wa Redio Jamii wataja faida za Mradi wa SIDA
Afisa Mipango Kitengo cha Mawasiliano, Habari na Tehama UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akisisitiza jambo katika warsha ya siku tatu ya kutoa uwezo wa kuweka kumbukumbu ya vipindi na vyanzo vya habari kwa...
View ArticleRais Kikwete ziarani Mkoa wa Tanga, azindua mradi wa Maji Mkata, agawa madume...
Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga...
View ArticleSmile yatoa Zawadi Kwa washindi wa promosheni ya Shinda iPad
Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya Smile Communications ltd, Ms Linda Chiza akimpongeza Sisit Karia aliyeibuka mshindi wa promosheni ya shinda iPad inayoendeshwa na Kampuni hiyo mwezi Machi. Anaeshuhudia...
View ArticleChemba iliyobomoka eneo la Mwenge yawa kero kwa watumiaji wa Barabara...
Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Hapa ni chemba Hiyo ambayo ipo wazi na pembeni ya barabara ya mwenge kukunja kuelekea Mama Ngoma. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite hapo...
View ArticleYaliyojiri kwenye Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma Machi...
View ArticleDMV yafanya misa ya kumbukumbu na kuomboleza kifo cha Caroline Mwaiselage DMV
Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa...
View ArticleMaisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Komnyang’anyo wilaya ya Handeni wakitembea barabarani kuelekea kwenye makazi yao vijiji mbalimbali vinavyoizunguka shule hiyo. UJENZI wa Sekondari...
View ArticleMalia Obama, Sasha Obama Look All Grown Up During China Trip With Michelle Obama
The First Daughters — all grown up and gorgeous! Malia and Sasha Obama have joined their mom Michelle Obama and grandmom Marian Robinson in China for a seven-day, three-city goodwill tour that focuses...
View ArticleSekretarieti ya Ajira kuandaa programu ya Elimu kuwawezesha waombaji kutimiza...
Afisa habari Mwandamizi wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma Bi Riziki Abrahamu akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya nakala ya maombi ya ajira isiyokidhi vigezo hali...
View ArticleFlight MH370 ‘crashed into the Southern Indian Ocean’ with no survivors
Relatives of the deceased react to the news of their deaths Any hope of finding survivors aboard the missing Malaysian Airlines plane ended yesterday with the announcement that flight MH370 had almost...
View ArticleMjadala: Haki ya kuzaliwa ya Watanzania Ughaibuni – John Mshaka
Taifa letu likiwa katika mpito na wakati mgumu wa kuandika rasimu ya katiba mpya ya watanzania, hatuna budi kuweka kando itikadi zetu za kisiasa, tofauti za kiimani na hata maslahi binafsi ili...
View ArticleTigo yadhamini wafanyabiashara wa Kariakoo kuuza bidhaa Coco Beach kila mwezi
Meneja Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu udhamini wa gulio la wafanyabiashara kutoka Kariakoo liitwalo ‘Kariakoo at...
View ArticleJust in: Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa afariki ghafla ofisini kwa Mkuu wa...
Habari zilizotufikia mchana huu ni pigo kwa Taifa na Mkoa wa Mara kwa kuondokewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa (pichani) aliyefariki ghafla baada ya kuanguka ofisini kwa Mkuu wa wilaya ya...
View Article